Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Ukiingia kwenye page ya Facebook ya Wayne Rooney utasitaajabu ya Mkenya. Wakenya wanadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya bila kupapasa macho au aibu. Page ya Rooney imegeuka battle ground ya Tanzania vs Kenya vs Nigeria. vs Ghana.

Ningeomba tujadili hili swala nanyie Wakenya.

Screenshot_2017-07-13-20-27-48.png
Screenshot_2017-07-13-20-28-36.png
 
Hao ni wajinga wachache.. hata wakiamua kupayuka mpaka mapafu yakauke.. mlima hauwezi kuhama.
 
Tayari wameshaanza. Wakenya hawalali. Sisi mbona hatufuatilii yenu
Screenshot_2017-07-13-21-10-12.png
 
Rooney mwenyewe anawashangaa waswahili mnataka kumbaka hadharani jamani[emoji3] [emoji3] View attachment 541508wazee wa tigo mmetisha duniani leo duh!!
Hilo sio swala laajabu hata huko ulaya yanatokea tena sana. Walipo kuja Brazil hapa Tanzania Kaka pia alikumbatiwa. Nikuonyesha mapenz ya kweli. Mada inabaki kwenye Mt. Kilimanjaro, kwa nini mnadai ipo kwenu.
 
Mbona hamumkumbatii na kumuonyeshha hayo mapenzi yenu ya dhati huyu asiye wasomesha wazazi? Lazma mdharaulike tuu hamna namna
FB_IMG_1499947281347.jpg
 
Jamani someni heading ya screenshot hapo vizuri (Rooney and Co arrive at Nairobi City Stadium ahead of kickoff)
downloadfile-5.png
 
Tayari wameshaanza. Wakenya hawalali. Sisi mbona hatufuatilii yenu
View attachment 541511
Mkuu hawa jamaa wanatia aibu kweli. Tunapo waita Manyagau hatudanganyi tunamaanisha. Wakenya akili zao hazina akili. Daraja lakigamboni wamewahi dai lipo Kenya. Jamani hawani rahana sio bure.
 
Rooney mwenyewe anawashangaa waswahili mnataka kumbaka hadharani jamani[emoji3] [emoji3] View attachment 541508wazee wa tigo mmetisha duniani leo duh!!
Ronaldo alishakumbatiwa, mesi pia na wengine wengi, tena huko huko ulaya! Angalia hii kama bado una mdomo tukuletee nyingine

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Tayari wameshaanza. Wakenya hawalali. Sisi mbona hatufuatilii yenu
View attachment 541511
Hao ndio wakenya ninaowajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hata samata walisema ni wao

Diamond ni wao pia

[emoji119] [emoji119] [emoji33] [emoji33] [emoji33]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Back
Top Bottom