Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Tch! Kumbe ni utani wa mtandao ndo unaleta hapa...
Kama ni utani mbona Kenya airways ndege zake zimeandikwa Mount Kilimanjaro. Huo sio wizi?
NDEGE+2.jpg
 
Hahaa wakenya tuzidi kufanya yetu hadi kieleweke, waswahili wameshindwa kuandika chochote cha maana mitandaoni wote wamejazana kule insta ku like misambwanda tu..nendeni kwa ras simba awafundishe ka english japo na nyinyi msikike kidogo...narudia hakuna ataketupangia ss kama wakenya tuandike nn mitandaoni si mfalme na mathalan sio mswahili yeyote!
Wewe nimeshakwambia ni boya sana hujui nchi inatoka wapi inaenda wapi, huwezi kujibu hoja!

Angalia imechukua mda gani hiyo post ya daily mail kubadilishwa, na ile yenu ambayo CNN waliwaita TOURIST HUB sidhani kama ilibadilishwa zaidi ya kuwazuga na radhi za kinafiki!


Ulivyo kiraza hata hujui athari za ile kauli kuwa kenya ni tourist hub imeleta athali gani kwenu!

Labda nikusaidie, kwa sababu ya ile kauli USA, UK, German, New Zealand wali withdraw kwenye mashindano ya IAAF yanayofanyika hapo kwenu!

Mmebaki na nchi za africa tu na mashariki ya mbali!

Shame on you[emoji33] [emoji33] [emoji35] [emoji35]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
jamaa sijui ni shoga...kakimbilia Rooney na kumrukia...hawa watz sijui wana nini...ushamba kwel kwel...wanatutia wana afrika mashariki aibu..Rooney hawez akarudi tena...yaani jamaa amehakikisha sehemu nyeti zake zimemkamata Rooney...sijui ni hug ya aina gani ile...yule jamaa atakuwa ana kasoro...
Just google juma nyosso ,kama humfahamu utakaelewa fika katabia kao pendwa hawa jamaa, yaani dunia imeshangazwa sana na ushoga wao, magazeti ya uingereza yatawachafua kesho, hadi basi alafu waingie kulialia humu eti wakenya ooohh ohhh.
download-1.jpeg
 
mada ni Mt.Kilimanjaro, mwezi wa nne wakati napanda mlima kupitia gate la marangu nilishangaa baada ya mwendo kama wa saa moja na nusu/mbili simu yangu ikaanza ingiza message, za kunikaribisha Kenya na mtandao wa Tigo unachange unasoma Vodacom Kenya nikajiuliza kama ni mgeni kama Rooney akiona ivyo si atakubali mlima uko Kenya? Nashauri wadau waliangalie hili tunataka mtu apate ujumbe wa simu kuwa yuko tanzania na sio kenya, ivyo basi ivi vitu vidogo vinachangia sana mada hii.
 
Usikwepeshe mada. Kwanini mnasema Mt.Kilimanjaro ipo Kenya?? Hadi kwenye ndege mnaandika Mt Kilimanjaro hizo za KQ?? Tupeni sababu za unyangau wenu!!Tupo serious wewe unaanza kuleta utumbo humu ndani!!View attachment 541573View attachment 541573
Tulisha lijadili kwa kina what you are trying to insinuate here, pitia huko alafu maana mlishashindwa ku 'patent' the name kilimanjaro hivo tutalitumia tuu hadi akhera
KLM ya Uholanzi Kuandika Mt. Kilimanjaro kwenye ndege zao inasaidia nini?
 
Hebu acheni ushamba kuna kitu kinaitwa trolling, sacarsm na huyo jamaa alijua wabongo wengi watakuwa kwenye page Rooney ili apate attention, likes na comments

Trolling tu ya kawaida msitokwe mapovu
 
Kingereza sio lugha yetu ya Taifa. Lugha yetu ni Kiswahili. Ndomaana walimu wa Kiswahili wamekuwa wakienda China, UK, USA, Japan, Rwanda, South Africa, Nigeria, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Swarziland, Burundi, Uganda, Congo na sasa Sudan pamoja na Ethiopia kwenda kufundisha kiswahili. Kiswahili lugha yangu nakupenda sana mama Swahili. AU pia mdasimrefu wanaizinishs kiswahili kuwa lugha ya Africa.
Hahaa wakenya tuzidi kufanya yetu hadi kieleweke, waswahili wameshindwa kuandika chochote cha maana mitandaoni wote wamejazana kule insta ku like misambwanda tu..nendeni kwa ras simba awafundishe ka english japo na nyinyi msikike kidogo...narudia hakuna ataketupangia ss kama wakenya tuandike nn mitandaoni si mfalme na mathalan sio mswahili yeyote!
 
Wivu wenu wa kike huo mungiki

Sent from my LG-D858HK using JamiiForums mobile app
 
Hebu acheni ushamba kuna kitu kinaitwa trolling, sacarsm na huyo jamaa alijua wabongo wengi watakuwa kwenye page Rooney ili apate attention, likes na comments

Trolling tu ya kawaida msitokwe mapovu
Hii nayo ya Kenya airways ni Trolling au niunyangau??
NDEGE+2.jpg
NDEGE+2.jpg
 
Zimeandikwa "mount kilimanjaro from kenya"?
Hilo neno chini sio Mount Kilimanjaro?? Bendera hapo kwenye ndege sio ya Kenya. Hii ndege unataka kusema haija andikwa hapo chini Mount Kilimanjaro na Bendera hiyo sio ya Kenya.?? Kweli wakenya ni manyagau mliokithiri.
NDEGE+2.jpg
NDEGE+2.jpg
 
Natamani ningekuwa rais wa tz kwani kitu ningefanya kwa ke wasingenisahau maana kila baada ya nusu km ningeweka kambi ya jeshi kuanzia TA hadi mwisho wa mpaka upande wa kaskazini ambapo ukuta mkubwa ungejengwa na jeshi hili lingekaa juu ya huo ukuta masaa 24 na hakuna punje ya nafaka ingeenda ke wala kibiriti tusingenunua na watz kama hawanafedha ya kuwekeza kiviwanda basi moto wangewashia kwa kijinga cha moto.
I hate them sana

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom