Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Mulisaa this guy wants Kenyans attention why should we give him

sent from iPhone 7
With this of Mount Kilimanjaro on a KQ plane do i real want your attention.?? Najua nimewanyima usingizi. Nipo likizo kwa sasa nataka niwashike vizuri. Nipo na more than 10 issues to do with Kenya naziweka kusubilia the real right time. Nachotaka kujua huu wizi wakuiba hata visivyo amishika mmejifunzia wapi?? Unyangau umetoka serikalini ukashuka kwa RAIA wa Kenya!!?? Nipeni jibu mzee wa iPhone 7
NDEGE+2.jpg
NDEGE+2.jpg
 
Wala msiumize kichwa.wakitaka kupanda huo mlima watajua uko nchi gani.
Hill sio tatizo mkuu. Lakini kumdanganya mtalii nitatizo kubwa just for your own interest. Wataona sisi na wakenya nimatapeli tunaoshilikiana. Kumbe ni minyangau. To give wrong information to a tourist nikitu kibaya sana. Kinatuchafulia jina sisi.
 
Acha kukimbia mada twambie lini Mount Kilimanjaro imeamia Kenya? Mliipa visa link uraia lini ?? Usikimbie mada tujadili
NDEGE+2-1.jpg
Wanafanya mambo ya kishoga alafu wanamsifia jamaa, akili sijui za kuazima ama nini, ila hongera kwa bbc swahili kwa kuliangazia, dunia iwaelewe walivyo..

View attachment 541548
 
KLM na KQ nisawa na baba na mama. Kwani atujui kuwa hata zaidi ya nusu ya ndege za KQ niza KLM?? Pia na KLM mmewafundisha unyangau kama mlivyo wafundisha RAIA wenu hapo Kenya?? Niwapi mlijifunza Unyangau??Hicho chuo kinaitwaje??
View attachment 541599
KLM hiyo mkuu ........hii hufanya safari kati ya Amsterdam na KIA ...sometime ni heshima tu sio kwa nia mbaya
 
KLM na KQ nisawa na baba na mama. Kwani atujui kuwa hata zaidi ya nusu ya ndege za KQ niza KLM?? Pia na KLM mmewafundisha unyangau kama mlivyo wafundisha RAIA wenu hapo Kenya?? Niwapi mlijifunza Unyangau??Hicho chuo kinaitwaje??
Mkuu mie Mtanzania mwenzako.....usilalamike ...boresha ATCL ndo mwarobaini wa mambo yote
 
Hahaa wakenya tuzidi kufanya yetu hadi kieleweke, waswahili wameshindwa kuandika chochote cha maana mitandaoni wote wamejazana kule insta ku like misambwanda tu..nendeni kwa ras simba awafundishe ka english japo na nyinyi msikike kidogo...narudia hakuna ataketupangia ss kama wakenya tuandike nn mitandaoni si mfalme na mathalan sio mswahili yeyote!

Sana sana mnaonekana mataahira tu kuamisha vitu visivyoamishika.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi majirani Ichukueni na Kibiti tutawaongezea na Mlima Meru Bure.

KilemaKyaro tuachieni

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
KLM na KQ nisawa na baba na mama. Kwani atujui kuwa hata zaidi ya nusu ya ndege za KQ niza KLM?? Pia na KLM mmewafundisha unyangau kama mlivyo wafundisha RAIA wenu hapo Kenya?? Niwapi mlijifunza Unyangau??Hicho chuo kinaitwaje??
GHANA KLM.jpg

Hii Mahan National Park ambayo ipo Ghana.......kama huna route ya ndege wenzako wanakutangazia ...hii ni kitu ya kawaida kama hii ndege yenyewe route yake ni ya kwenda Ghana
 
mada ni Mt.Kilimanjaro, mwezi wa nne wakati napanda mlima kupitia gate la marangu nilishangaa baada ya mwendo kama wa saa moja na nusu/mbili simu yangu ikaanza ingiza message, za kunikaribisha Kenya na mtandao wa Tigo unachange unasoma Vodacom Kenya nikajiuliza kama ni mgeni kama Rooney akiona ivyo si atakubali mlima uko Kenya? Nashauri wadau waliangalie hili tunataka mtu apate ujumbe wa simu kuwa yuko tanzania na sio kenya, ivyo basi ivi vitu vidogo vinachangia sana mada hii.

Hata rombo line zangu zinasoma safari com. Yani nachukia mpaka basi
 
Kenyans wahangahike na mambo post elections violence mambo ya mlima hayana maana kwenu.....
 
Kwani ni uongo mlima kilimanjaro unaonekana kwa uzuri ukiwa nchini Kenya but kuukwea waeza ukiwa Tanzania hakuna shida Kenya kuutangaza sababu ndio ukweli wenyewe... sI kila mtalii anataka kuukwea wengine kuutizama tu yatosha
 
chukua mic utangaze waskie vizuri. thats the plain truth.
 
Kama ni utani mbona Kenya airways ndege zake zimeandikwa Mount Kilimanjaro. Huo sio wizi?View attachment 541566
Hill sio tatizo mkuu. Lakini kumdanganya mtalii nitatizo kubwa just for your own interest. Wataona sisi na wakenya nimatapeli tunaoshilikiana. Kumbe ni minyangau. To give wrong information to a tourist nikitu kibaya sana. Kinatuchafulia jina sisi.
Kwanini msipartent hilo jina na kufanya marufuku taifa au kampuni lolote kulitumia?

Kenya airways haisemi ya kwamba huyo mlima upo Kenya wala kuwapotosha wasafiri kutoka ng'ambo ya kwamba mlima huo upo Kenya.
Lakini si ni kweli mtu anaweza kuutazama mlima huo akiwa Kenya?

Na kama hawa wasafiri wangependa kufika kwenye mlima huo, si ni lazima watakuja Tanzania, wakiletwa hapo na ndege ya KQ.

Kwa hivyo manufaa itakuwa kwa mataifa yote mawili, hasa Tz. Sisemi hili kwa ubaya, lakini Kenya kwa sasa ndio iko na uwezo zaidi ya kutangaza hivi vivutio vya kitalii vya kanda hili kote duniani kushinda Tanzania, nanyi mmewahi kukiri hilo humu.
KQ hawasemi ya kwamba Kilimanjaro ama Serengeti yako Kenya. Surely, that would be harmful to the company to lie to its customers like that. All they say is that, watawafikisha kwenye vivutio vile, na yeyote atakuwa na interest ya kufika sehemu hizo, bila shaka watapewa maelezo yote.

It is a symbiotic relationship btn the Kenyan airline and the Tanzanian tourism sector going on here. If Tanzania didnt like it, they would have demanded of KQ to stop advertising its attraction sites long time ago.
 
Kwa
Mkuu mie Mtanzania mwenzako.....usilalamike ...boresha ATCL ndo mwarobaini wa mambo yote
Kwani hii ni nini? Umeanza kuleta siasa hapa.! Acha ujinga tupo serious juu yahili swala. Nyangau mwingine uliekosa matunzo. Wakenya mbadilike muache propaganda zakizamani. Unasikia nyangau??
air-tanzania-revealed-as-boeing-787-8-customer_20161213_142400_original-1.jpg
2....jpg
air-tanzania-revealed-as-boeing-787-8-customer_20161213_142400_original-1.jpg
 
Sio utani haiwezi waongee watu zaidi ya kumi useme utani. Mimi kuna mkenya tumewahi bishana kipindi nipo South Africa hadi tukatumia map lakini bado alionyesha kuto rizika hata kidogo. Nilijiuliza kwa nini mnaipigania Kili. Kwenye milango ya ndege mmeandika mt kilimanjarot

Kwani ili jambo liwe utani linafaa kuhusisha watu wangapi?

Na kama hili sio maoni ya serikali ya Kenya, why should the comments from some average joes in Kenya pertub u so much?

It is the Kenya govt which has the last word on such matters. Kenya does not claim the mountain.
 
Kwa

Kwani hii ni mini. Umeanza kuleta siasa hapa. Acha ujinga tupo serious juu yahili swala. Wakenya mbadilike muache propaganda zakizamani. Unasikia nyangau??View attachment 541651View attachment 541652 View attachment 541651
sasa wewe ldc unalialiia kama mtoto kanyimwa peremende. munafanyiwa advert ya tourist destination site ya bure ya mlima wenu na unacatch mafeelings ka dem. pesa za ku-run advert kwa CNN na BBC pia hamuna.
do you know how much it costs to have a 10seconds ad running on CNN?
ask yourself why Kenya always beats you in attracting more tourists and tourism revenues year in year out. mind you, Kenya has less to offer compared to you despite you being so cheap and having a wide variety
 
Back
Top Bottom