Kwanini msipartent hilo jina na kufanya marufuku taifa au kampuni lolote kulitumia?
Kenya airways haisemi ya kwamba huyo mlima upo Kenya wala kuwapotosha wasafiri kutoka ng'ambo ya kwamba mlima huo upo Kenya.
Lakini si ni kweli mtu anaweza kuutazama mlima huo akiwa Kenya?
Na kama hawa wasafiri wangependa kufika kwenye mlima huo, si ni lazima watakuja Tanzania, wakiletwa hapo na ndege ya KQ.
Kwa hivyo manufaa itakuwa kwa mataifa yote mawili, hasa Tz. Sisemi hili kwa ubaya, lakini Kenya kwa sasa ndio iko na uwezo zaidi ya kutangaza hivi vivutio vya kitalii vya kanda hili kote duniani kushinda Tanzania, nanyi mmewahi kukiri hilo humu.
KQ hawasemi ya kwamba Kilimanjaro ama Serengeti yako Kenya. Surely, that would be harmful to the company to lie to its customers like that. All they say is that, watawafikisha kwenye vivutio vile, na yeyote atakuwa na interest ya kufika sehemu hizo, bila shaka watapewa maelezo yote.
It is a symbiotic relationship btn the Kenyan airline and the Tanzanian tourism sector going on here. If Tanzania didnt like it, they would have demanded of KQ to stop advertising its attraction sites long time ago.