Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio wakenya ninaowajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata samata walisema ni wao
Diamond ni wao pia
[emoji119] [emoji119] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Kwa ujeuri wao hatuwezi kuwapa hata bureWamchuke tu Diamond...ila watuachie wanamuziki wetu wa ukweli.
Huyo tumesha mkumbatia na kumpigia magoti yakumsujudu. Huyo ndo Musa wa Tanzania. Yani navyompenda mimi sijui nimfanyie lipi la upendo ambalo sijawahi mfanyia mtu. Kwanza muangalie alivyo kuwa simple kimaisha. Hapendi uzungu waovyo ovyo. Pia sisi shule zetu sio zakulea akina mama wenye watoto. Hatutaki wazazi mashuleni. Msituletee upuuzi wa wazungu. Mada bado nikwanini mnakuwa wezi hadi mnaamisha visivyo amishika kupeleka Kenya??Mbona hamumkumbatii na kumuonyeshha hayo mapenzi yenu ya dhati huyu asiye wasomesha wazazi? Lazma mdharaulike tuu hamna namnaView attachment 541520
Rooney mwenyewe anawashangaa waswahili mnataka kumbaka hadharani jamani[emoji3] [emoji3] View attachment 541508wazee wa tigo mmetisha duniani leo duh!!
akili haina akili...duh! ndio nini hioMkuu hawa jamaa wanatia aibu kweli. Tunapo waita Manyagau hatudanganyi tunamaanisha. Wakenya akili zao hazina akili. Daraja lakigamboni wamewahi dai lipo Kenya. Jamani hawani rahana sio bure.
Labda kibiti ndio ipo kwao!
Watukome
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Sio utani haiwezi waongee watu zaidi ya kumi useme utani. Mimi kuna mkenya tumewahi bishana kipindi nipo South Africa hadi tukatumia map lakini bado alionyesha kuto rizika hata kidogo. Nilijiuliza kwa nini mnaipigania Kili. Kwenye milango ya ndege mmeandika mt kilimanjarotTch! Kumbe ni utani wa mtandao ndo unaleta hapa...
Wanafanya mambo ya kishoga alafu wanamsifia jamaa, akili sijui za kuazima ama nini, ila hongera kwa bbc swahili kwa kuliangazia, dunia iwaelewe walivyo..jamaa sijuini shoga...kakimbilia Rooney na kumrukia...hawa watz sijui wana nini...ushamba kwel kwel...wanatutia wana afrika mashariki aibu..Rooney hawez akarudi tena...
jamaa sijui ni shoga...kakimbilia Rooney na kumrukia...hawa watz sijui wana nini...ushamba kwel kwel...wanatutia wana afrika mashariki aibu..Rooney hawez akarudi tena...yaani jamaa amehakikisha sehemu nyeti zake zimemkamata Rooney...sijui ni hug ya aina gani ile...yule jamaa atakuwa ana kasoro...
Hiyo ni sahihi kabisa, mda mwingine akili zenu hazina akiliakili haina akili...duh! ndio nini hio
Kama ni fake fake fake news mbona ndege za Kenya airways mmeandika Mount Kilimanjaro bila kupapasa macho na akili zenu. Huu sio wizi??Fake fake fake news