Wakenya! Wakenya!.... Naona sasa hadi Darassa mnataka awe wenu!

Wakenya! Wakenya!.... Naona sasa hadi Darassa mnataka awe wenu!

ntita

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
513
Reaction score
285
Kama kawaida ya wakenya, kila kitu kizuri cha Tz mnaamini kilifaa kiwe Kenya.. Na Darassa nae mnatakanawe wenu!

Da! Nashindwa ku-upload screenshot
 
Kama kawaida ya wakenya, kila kitu kizuri cha Tz mnaamini kilifaa kiwe Kenya.. Na Darassa nae mnatakanawe wenu!

Da! Nashindwa ku-upload screenshot
df94a1b9f845c60d91e1c078d70300fc.jpg
 
Watanzania Tunamatatizo yaKutafsiri Lugha Ya Kingereza.

Ukiangalia kwa Makini si Kwamba Wamesema Ametoka Kenya.. ila Hao Fans Wanajitambulisha Kama fans kutoka kenya...

Ndo Maana Wamemalizia Kwa Kusema BigUp from Kenya(254)...
 
Mwizi ni mwizi tuu, hata umpe sanduku la hela, kesho huyooo kwenye mawindo.
 
Unapoishi na jirani yako ambaye anaamini haustahili chochote kizuri kwa kua anajiona kabarikiwa kushinda wewe ndiyo unakutana na watu kama huyo papa kolo.
 
Ameandika I thought the guy is Kenyan.. kwa Tafsiri ya Kiswahili Amemaanisha "ALIFIKIRIA KWAMBA JAMAA NI MKENYA" kumbe ni MTz so Hakupenda Jamaa kuwa Mtz....
Kwa nn afikirie Darassa ni mkenya?.... Na kwa nn audhike

Na Hugo wa juu take anakwambia eti... Sounds like Kenyan jams.... really?
 
Kama kawaida ya wakenya, kila kitu kizuri cha Tz mnaamini kilifaa kiwe Kenya.. Na Darassa nae mnatakanawe wenu!

Da! Nashindwa ku-upload screenshot
Tufanye mpango tuwauzie.
 
kasome english bhana alafu uitafsiri hio picha, huyo hajasema kama darassa ni mkenya, kasema izo flow zake ni kama za watu wao wa kenya. over
 
kasome english bhana alafu uitafsiri hio picha, huyo hajasema kama darassa ni mkenya, kasema izo flow zake ni kama za watu wao wa kenya. over
Bila shaka na ww ni Mkenya.... Wale wanaoamini kua watz tukisoma kiingereza hatuelewi....

Keep it up brother...! Huenda itakusaidia maishan
 
Watanzania Tunamatatizo yaKutafsiri Lugha Ya Kingereza.

Ukiangalia kwa Makini si Kwamba Wamesema Ametoka Kenya.. ila Hao Fans Wanajitambulisha Kama fans kutoka kenya...

Ndo Maana Wamemalizia Kwa Kusema BigUp from Kenya(254)...
Aliudhika kusikia ni Tz.kama hakutaka darasa awe mkenya.unafikiri jamaa alitaka darasa awe wa nchi gani?
Honestly on hearing this jam I thought the guy is Kenyan.niliudhika kusikia ni Tz lol. Sasa wewe unabisha nini?
 
Back
Top Bottom