Luhaga Samwel
Member
- Apr 4, 2014
- 31
- 9
Ila kweli kwa Wimbo huu Darassa anasound kama mkenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Kweli hawa jamaa wana chuki binafsi eti niliudhika kusikia ni MTZ
hahahaKama kawaida ya wakenya, kila kitu kizuri cha Tz mnaamini kilifaa kiwe Kenya.. Na Darassa nae mnatakanawe wenu!
Da! Nashindwa ku-upload screenshot
Sasa hiyo haionyeshi kwamba alikuwa anataka awe wao?Ameandika I thought the guy is Kenyan.. kwa Tafsiri ya Kiswahili Amemaanisha "ALIFIKIRIA KWAMBA JAMAA NI MKENYA" kumbe ni MTz so Hakupenda Jamaa kuwa Mtz....