Wakenya! Wakenya!.... Naona sasa hadi Darassa mnataka awe wenu!

Wakenya! Wakenya!.... Naona sasa hadi Darassa mnataka awe wenu!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee wakenya hapo mmetisha sana acheni utani jamani hebu kuweni serious.
Huwa mnaunadi mlima Kilimanjaro kuwa ni wenu sasa mmeanza kumchomoa mTz mmoja mmoja amnahamishiwa kenya eti " I thought hahaaaaa
 
Watanzania Tunamatatizo yaKutafsiri Lugha Ya Kingereza.

Ukiangalia kwa Makini si Kwamba Wamesema Ametoka Kenya.. ila Hao Fans Wanajitambulisha Kama fans kutoka kenya...

Ndo Maana Wamemalizia Kwa Kusema BigUp from Kenya(254)...
Alidhani in mkenya na aliudhika kusikia no m-bongo........

Wew ndo unamatatizo ya kutafsiri
 
Hao ndo majiran zetu bana kizur kutoka kwao wanapublish kimetoka kenya kizuri kutoka kwa majirani zao wanapublish kimetoka eastafrica mbaya zaid kama kimetoka nje ya bara kupitia ndege zao
 
What do u expect? Halafu we Faru Khadija ndo ulionekana kwa mara ya mwisho na Faru the John ..tunakuhitaji kwa mahojiano zaidi ..

eeeeh....toba yahillah......najuuuuuutaaa........
 
Watanzania Tunamatatizo yaKutafsiri Lugha Ya Kingereza.

Ukiangalia kwa Makini si Kwamba Wamesema Ametoka Kenya.. ila Hao Fans Wanajitambulisha Kama fans kutoka kenya...

Ndo Maana Wamemalizia Kwa Kusema BigUp from Kenya(254)...

IMENIBIDI NICHEKE 😀😀😀 TU MKUU

AU ULIKUWA UNATANIA TU??
 
Wakenya kwa kupenda vitu vizuri mmetisha
 
Wa tzii huko wimbo Darasa ameiga mrindimo kutoka mwanamziki wa Kenya mnaojua mziki mtakubaliana nani na muta upload
 
Jamaa ametumia slang kadhaa za Kenya kwa ngoma yake ndio probably watu waka make assumptions, hamna haja ya kusema kuwa hatuwatakii jirani mema. Kenya ina international recognised celebs wengi tu, kwa mziki kidogo tumefulia, but in all other spheres, we shine bright and fly our flag so high it's enviable.
 
Hizo slang za Kenya Bdo kama zipi
 
Back
Top Bottom