Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Alidhani in mkenya na aliudhika kusikia no m-bongo........Watanzania Tunamatatizo yaKutafsiri Lugha Ya Kingereza.
Ukiangalia kwa Makini si Kwamba Wamesema Ametoka Kenya.. ila Hao Fans Wanajitambulisha Kama fans kutoka kenya...
Ndo Maana Wamemalizia Kwa Kusema BigUp from Kenya(254)...
Yawezekana ww unajua kusoma English lakini kutafsiri hujuikasome english bhana alafu uitafsiri hio picha, huyo hajasema kama darassa ni mkenya, kasema izo flow zake ni kama za watu wao wa kenya. over
Hakika ni ww mwenye matatizo na lugha ya EnglishNadhani mleta mada na wachangiaji wengi humu mna tatizo na lugha ya english
well, muhimu kuelewa information, kwani lazima kujua kutafsiri wakati najua kinachomaanishwa ?Yawezekana ww unajua kusoma English lakini kutafsiri hujui
Basi hujaelewa[emoji4]well, muhimu kuelewa information, kwani lazima kujua kutafsiri wakati najua kinachomaanishwa ?
Toa wewe tafsiri.lugha gongana aise,
Hii manake nn sasa!!???Honestly on hearing this jam Ithought the guy is Kenyan.niliudhika kusikia ni Tz lol. Sasa wewe unabisha nini?
Alifikiri darasa ni mkenya.akaja kujua ni mtanzania.akaudhika.mwisho akacheka lol.Hii manake nn sasa!!???
Kawaida sana kwa manyang'au
What do u expect? Halafu we Faru Khadija ndo ulionekana kwa mara ya mwisho na Faru the John ..tunakuhitaji kwa mahojiano zaidi ..unajifanya una mbio na huna break........
What do u expect? Halafu we Faru Khadija ndo ulionekana kwa mara ya mwisho na Faru the John ..tunakuhitaji kwa mahojiano zaidi ..
Watanzania Tunamatatizo yaKutafsiri Lugha Ya Kingereza.
Ukiangalia kwa Makini si Kwamba Wamesema Ametoka Kenya.. ila Hao Fans Wanajitambulisha Kama fans kutoka kenya...
Ndo Maana Wamemalizia Kwa Kusema BigUp from Kenya(254)...
Kama kawaida ya wakenya, kila kitu kizuri cha Tz mnaamini kilifaa kiwe Kenya.. Na Darassa nae mnatakanawe wenu!
Da! Nashindwa ku-upload screenshot
Hizo slang za Kenya Bdo kama zipiJamaa ametumia slang kadhaa za Kenya kwa ngoma yake ndio probably watu waka make assumptions, hamna haja ya kusema kuwa hatuwatakii jirani mema. Kenya ina international recognised celebs wengi tu, kwa mziki kidogo tumefulia, but in all other spheres, we shine bright and fly our flag so high it's enviable.