FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Kibiti vipi?Hili povu zito sana. Ni kichaa pekee anaweza toa povu zito hivi.
Mgambo wa al shabab mmewashinda wakati wanatumia marungu, sime na manati. Sasa ujitutumue kwa Jeshi pendwa la Wananchi wa Tanzania. Iliwanyoosha M23, waliopindua Comoros, Waliopindua Seychelles, Nduli dadaa Idd Amin kwa muda mfupi sana.
Acheni mbwembwe nyingi.