Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisikika kichaa mmoja wa mathareMbona sasa hata jiwe alipelekwa Nairobee?
Ndio wanaifungia safari hii huduma?hospitali ya loitoktok wachaga na wasamba wamejaa humooo!
Lissu naye alipopatw na matatizo walimpeleka Kenya, Magu alitibiwa kenya.Weka ushahidi wacha kujitetea, hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuja kutibiwa Kenya, Hospitali zenu hazina hadhi ya kutibu watanzania, poor services, no medicine and poorly educated medical personals
Lissu unamuona ana akili timamu?, Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuchagua kuja kutibiwa Kenya kwa hiari yake.Lissu naye alipopatw na matatizo walimpeleka Kenya, Magu alitibiwa kenya.
Sijajua kama Kuna madhaifu hayo.Kwanza katika hili natoa pongezi kwa Tanzania na serikali zote zilizokuwepo, kwa sehemu kubwa huduma za afya za kibingwa kwa baadhi ya hospitali kubwa kubwa kama Muhimbili ziko kimataifa.
Lakini kuna kasoro kadhaa ambazo nimeziona kwenye hospitali kadhaa za Tanzania ambazo zinaweza kuwa zinarudisha nyuma sana katika utoaji wa huduma za Afya kimataifa. Kwa mfano.
1. Taarifa muhimu za upatikanaji wa huduma husika. Yaani ni ngumu kutafuta na kujua kama huduma fulani ya kibingwa inapatikana wapi unless uambiwe na mgonjwa aliyewahi kutibiwa hapo.
2. Utozaji gharama maradufu kwa mgeni. Huu ni ubaguzi kwa 100%. Yaani mtanzania analipa kidogo halafu mgeni analipa gharama kubwa sana kwa huduma ile ile. Mimi nilitegemea kama mgeni atalipishwa gharama kubwa basi huduma iwe kwa mtindo wa Fast truck& first priority.
3. Uratibu mbovu wakati wa michakato ya kupanga kumhudumia mgonjwa (Poor logistic). Yaani mgonjwa hajui aje lini, aanzie wapi, atatibiwa lini na atarejea kwao lini. Na hapo ndipo India wanatuzidi kwa 1000%. Yaani India ukiwa unataka kwenda kutibiwa, logistic zote zinafanyika ukiwa bado nchini mwako na mgonjwa akienda hasumbuliwi na chochote, yeye ni kufanya malipo tu. Bongo kuna longo longo kibao, rushwa kama zote, uhuni kama kawa. Mimi nilitegemea balozi zetu zingekuwa ni One stop centre, kuwe na dawati maalum la kushughulikia wasafiri wanaokuja kutibiwa ili logistic zote ziwe link na hospitali husika.
Kwa wakati ule alizima, sidhani kama yeye ndo alichagua kwenda Kenya.Lissu unamuona ana akili timamu?, Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuchagua kuja kutibiwa Kenya kwa hiari yake.
Ninakubaliana na wewe isipokua kipengele namba 2 pekee, watanzania kwa ujumla ingewezekana wasingelipia kabisa kwasababu wao ndio waliozijenga hizi Hospitali kupitia Kodi wanazolipa, na ndio wanaolipa mishahara ya waajiriwa wote.Kwanza katika hili natoa pongezi kwa Tanzania na serikali zote zilizokuwepo, kwa sehemu kubwa huduma za afya za kibingwa kwa baadhi ya hospitali kubwa kubwa kama Muhimbili ziko kimataifa.
Lakini kuna kasoro kadhaa ambazo nimeziona kwenye hospitali kadhaa za Tanzania ambazo zinaweza kuwa zinarudisha nyuma sana katika utoaji wa huduma za Afya kimataifa. Kwa mfano.
1. Taarifa muhimu za upatikanaji wa huduma husika. Yaani ni ngumu kutafuta na kujua kama huduma fulani ya kibingwa inapatikana wapi unless uambiwe na mgonjwa aliyewahi kutibiwa hapo.
2. Utozaji gharama maradufu kwa mgeni. Huu ni ubaguzi kwa 100%. Yaani mtanzania analipa kidogo halafu mgeni analipa gharama kubwa sana kwa huduma ile ile. Mimi nilitegemea kama mgeni atalipishwa gharama kubwa basi huduma iwe kwa mtindo wa Fast truck& first priority.
3. Uratibu mbovu wakati wa michakato ya kupanga kumhudumia mgonjwa (Poor logistic). Yaani mgonjwa hajui aje lini, aanzie wapi, atatibiwa lini na atarejea kwao lini. Na hapo ndipo India wanatuzidi kwa 1000%. Yaani India ukiwa unataka kwenda kutibiwa, logistic zote zinafanyika ukiwa bado nchini mwako na mgonjwa akienda hasumbuliwi na chochote, yeye ni kufanya malipo tu. Bongo kuna longo longo kibao, rushwa kama zote, uhuni kama kawa. Mimi nilitegemea balozi zetu zingekuwa ni One stop centre, kuwe na dawati maalum la kushughulikia wasafiri wanaokuja kutibiwa ili logistic zote ziwe link na hospitali husika.
JKCI wanafanya kazi nzuri sana.Jkci na Moi wapo vizur sana
Nonsense. Labda tu ungesema kwa vile huu ni utalii wa tiba basi wanalipishwa kitaliiNinakubaliana na wewe isipokua kipengele namba 2 pekee, watanzania kwa ujumla ingewezekana wasingelipia kabisa kwasababu wao ndio waliozijenga hizi Hospitali kupitia Kodi wanazolipa, na ndio wanaolipa mishahara ya waajiriwa wote.
Wageni lazima walipishwe gharama kubwa ili wakawaziwajibishe serikali zao ili zitumie vizuri Kodi za wananchi sio kutumia pesa nyingi za Kodi kulipa mishahara mikubwa kwa wanasiasa wakati Hospital hazina madawa.
Kenya ni mfano wa karibu, inawalipa hadi madiwani wakati Tanzania madiwani hawaliowi, Rais Kenya analipwa mara 4 wa rais Tanzania, Mbunge Kenya analipwa mara mbili ya rais Tanzania
Unaposema wanalipishwa kitalii umelinganisha na nchi zingine Kama kweli hapa Tanzania ni ghali, au umelinganisha na pesa wanayolipishwa watanzania?, tumia akili vizuriNonsense. Labda tu ungesema kwa vile huu ni utalii wa tiba basi wanalipishwa kitalii