Wakenya wakiri kwamba Tanzania ipo mbele katika huduma za Afya, awataka wakenya kuachana na Hospitali za Kenya

hospitali ya loitoktok wachaga na wasamba wamejaa humooo!
Ndio wanaifungia safari hii huduma?

Screenshot_20220116-074135.png
 
Weka ushahidi wacha kujitetea, hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuja kutibiwa Kenya, Hospitali zenu hazina hadhi ya kutibu watanzania, poor services, no medicine and poorly educated medical personals
Lissu naye alipopatw na matatizo walimpeleka Kenya, Magu alitibiwa kenya.
 
Kwanza katika hili natoa pongezi kwa Tanzania na serikali zote zilizokuwepo, kwa sehemu kubwa huduma za afya za kibingwa kwa baadhi ya hospitali kubwa kubwa kama Muhimbili ziko kimataifa.

Lakini kuna kasoro kadhaa ambazo nimeziona kwenye hospitali kadhaa za Tanzania ambazo zinaweza kuwa zinarudisha nyuma sana katika utoaji wa huduma za Afya kimataifa. Kwa mfano.

1. Taarifa muhimu za upatikanaji wa huduma husika. Yaani ni ngumu kutafuta na kujua kama huduma fulani ya kibingwa inapatikana wapi unless uambiwe na mgonjwa aliyewahi kutibiwa hapo.

2. Utozaji gharama maradufu kwa mgeni. Huu ni ubaguzi kwa 100%. Yaani mtanzania analipa kidogo halafu mgeni analipa gharama kubwa sana kwa huduma ile ile. Mimi nilitegemea kama mgeni atalipishwa gharama kubwa basi huduma iwe kwa mtindo wa Fast truck& first priority.

3. Uratibu mbovu wakati wa michakato ya kupanga kumhudumia mgonjwa (Poor logistic). Yaani mgonjwa hajui aje lini, aanzie wapi, atatibiwa lini na atarejea kwao lini. Na hapo ndipo India wanatuzidi kwa 1000%. Yaani India ukiwa unataka kwenda kutibiwa, logistic zote zinafanyika ukiwa bado nchini mwako na mgonjwa akienda hasumbuliwi na chochote, yeye ni kufanya malipo tu. Bongo kuna longo longo kibao, rushwa kama zote, uhuni kama kawa. Mimi nilitegemea balozi zetu zingekuwa ni One stop centre, kuwe na dawati maalum la kushughulikia wasafiri wanaokuja kutibiwa ili logistic zote ziwe link na hospitali husika.
 
Sijajua kama Kuna madhaifu hayo.
Unataka kuniambia Hospital Haina website?
Sitaki kuamini kuwa wasomi waliokaa hapo Hawako organized kwa kiwango hicho
 
Kwanza katika hili natoa pongezi kwa Tanzania na serikali zote zilizokuwepo, kwa sehemu kubwa huduma za afya za kibingwa kwa baadhi ya hospitali kubwa kubwa kama Muhimbili ziko kimataifa.

Lakini kuna kasoro kadhaa ambazo nimeziona kwenye hospitali kadhaa za Tanzania ambazo zinaweza kuwa zinarudisha nyuma sana katika utoaji wa huduma za Afya kimataifa. Kwa mfano.

1. Taarifa muhimu za upatikanaji wa huduma husika. Yaani ni ngumu kutafuta na kujua kama huduma fulani ya kibingwa inapatikana wapi unless uambiwe na mgonjwa aliyewahi kutibiwa hapo.

2. Utozaji gharama maradufu kwa mgeni. Huu ni ubaguzi kwa 100%. Yaani mtanzania analipa kidogo halafu mgeni analipa gharama kubwa sana kwa huduma ile ile. Mimi nilitegemea kama mgeni atalipishwa gharama kubwa basi huduma iwe kwa mtindo wa Fast truck& first priority.

3. Uratibu mbovu wakati wa michakato ya kupanga kumhudumia mgonjwa (Poor logistic). Yaani mgonjwa hajui aje lini, aanzie wapi, atatibiwa lini na atarejea kwao lini. Na hapo ndipo India wanatuzidi kwa 1000%. Yaani India ukiwa unataka kwenda kutibiwa, logistic zote zinafanyika ukiwa bado nchini mwako na mgonjwa akienda hasumbuliwi na chochote, yeye ni kufanya malipo tu. Bongo kuna longo longo kibao, rushwa kama zote, uhuni kama kawa. Mimi nilitegemea balozi zetu zingekuwa ni One stop centre, kuwe na dawati maalum la kushughulikia wasafiri wanaokuja kutibiwa ili logistic zote ziwe link na hospitali husika.
Ninakubaliana na wewe isipokua kipengele namba 2 pekee, watanzania kwa ujumla ingewezekana wasingelipia kabisa kwasababu wao ndio waliozijenga hizi Hospitali kupitia Kodi wanazolipa, na ndio wanaolipa mishahara ya waajiriwa wote.

Wageni lazima walipishwe gharama kubwa ili wakawaziwajibishe serikali zao ili zitumie vizuri Kodi za wananchi sio kutumia pesa nyingi za Kodi kulipa mishahara mikubwa kwa wanasiasa wakati Hospital hazina madawa.

Kenya ni mfano wa karibu, inawalipa hadi madiwani wakati Tanzania madiwani hawaliowi, Rais Kenya analipwa mara 4 wa rais Tanzania, Mbunge Kenya analipwa mara mbili ya rais Tanzania
 
Nonsense. Labda tu ungesema kwa vile huu ni utalii wa tiba basi wanalipishwa kitalii
 
Unaposema wanalipishwa kitalii umelinganisha na nchi zingine Kama kweli hapa Tanzania ni ghali, au umelinganisha na pesa wanayolipishwa watanzania?, tumia akili vizuri
 
Back
Top Bottom