Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapumbazwa kuwa nchi yetu ina kila kitu ihali maisha ya watu ni duni sanaTanganyika kila mtu anataka kumsifia Chura ili apate pesa ya Kula.
Hawatak au wewe ndio hutaki?Tunapumbazwa kuwa nchi yetu ina kila kitu ihali maisha ya watu ni duni sana
Ila hawataki watu waende nje ya nchi.
Pamoja na mimi kutaka ila mazingira ya kupewa visa ya urasimu mwingiHawatak au wewe ndio hutaki?
Viongozi wa Afrika kwa muda mrefu wamekosa maono ya kusaidia wananchiAfrika..., Yaani our fore fathers wangefufuka leo wakaona yanayoendelea wangefariki tena kwa mshituko na mshangao wa masikitiko...
Visa mpaka uwe na vigezo na pia QATAR ukiwa Mtanzania huitaji visa.Pamoja na mimi kutaka ila mazingira ya kupewa visa ya urasimu mwingi
sio rafiki kama Kenya au nchi nyingine za Afrika Mashariki.
Katika kitu ambacho hii serikali ya ccm imekiweza ni kutuaminisha tupo kwenye nchi nzuri sana na yenye kila kitu huko nje ni vita na mateso..Huu ni mstari mrefu wa watu 8000 vijana wa Kenya waliojitokeza kwenye
usaili wa kwenda kufanya kazi nchi ya Qatar
Sio kweli waarabu wanenda wengi sana ulaya na marekani na hawajui ata salamu ya kizungu zaidi ya assalam aleikum na wanatoa hii ya kuama nchi ni spirit mzee na inategemea na hali ya nchi yenu.Elimu ya Kenya inamfanya mkenya afanye kazi sehemu yeyote duniani.Sasa mtanganyika aende Qatar akiongea kizigua na kimakonde au ze ze ze nani atamuelewa?
Nazungumzia kwa ujumla mkuu sio Qatar tuu,Visa mpaka uwe na vigezo na pia QATAR ukiwa Mtanzania huitaji visa.
Anayetoa viza ni Serikali ya Tanzania?Nazungumzia kwa ujumla mkuu sio Qatar tuu,
Utafanyaje kazi bila kujua lugha, hao Wakenya wanaenda kama ProffesionalsSio kweli waarabu wanenda wengi sana ulaya na marekani na hawajui ata salamu ya kizungu zaidi ya assalam aleikum na wanatoa hii ya kuama nchi ni spirit mzee na inategemea na hali ya nchi yenu.
Hata Passport mkuu urasimu upo sana, ki ujumla hawapendi diaspora.Anayetoa viza ni Serikali ya Tanzania?
Okay Mkuu pamoja na hayo Watanzania waoga kusafiriHata Passport mkuu urasimu upo sana, ki ujumla hawapendi diaspora.
On spot.Sio kweli waarabu wanenda wengi sana ulaya na marekani na hawajui ata salamu ya kizungu zaidi ya assalam aleikum na wanatoa hii ya kuama nchi ni spirit mzee na inategemea na hali ya nchi yenu.
Yote ni matokeo ya kuandaliwa, wametengenezwa kuwa hivyo bossOkay Mkuu pamoja na hayo Watanzania waoga kusafiri