Wakenya Wakisaka Kazi za Ugaibuni

Wakenya Wakisaka Kazi za Ugaibuni

Unataka Nani akuandae?
Ni jukumu la serikali kuandaa watu wake, kupitia elimu rasmi na
isiyo rasmi ili waweze kushindana kwenye fursa. Mfano nchi ya Uganda

baada ya kugundua kuwa wananchi wao wanakosa ajira katika nchi
katika nchi za ukanda wa Afrika Mashariki kwa sababu ya kutoweza
kuzungumza kiswahili sawasawa. Wameanzisha program mbalimbali za

Kiswahili ili kuwajengea uwezo wa lugha ya Kiswahili waweze kuchangamkia
fursa ndani na nje ya jumuiya.
 
Kitu sitokuja kufanya ni kwenda kufanya kazi kwenye nchi za watu ili uishi tu. Hao wenye nchi zao walifikaje hapo hadi nyinyi mshindwe? Freeloading is humiliation. Unless hauna conscious ya kutambulia hilo wala thamani yako, kitu ambacho ni kibaya zaidi sababu utaishia kutumika kama mbwa kwa maslahi duni. That's why umasikini ni mbaya sana. Anyway watu hatufanani.
 
Elimu ya Kenya inamfanya mkenya afanye kazi sehemu yeyote duniani.Sasa mtanganyika aende Qatar akiongea kizigua na kimakonde au ze ze ze nani atamuelewa?
Kazi au vibarua? Unajua maana ya kazi yoyote duniani kweli?
 
Afrika..., Yaani our forefathers wangefufuka leo wakaona yanayoendelea wangefariki tena kwa mshituko na mshangao wa masikitiko...
Samahani, unazungumzia mababu wetu hawa waliokuwa wanawabeba kina Livingston kwenye machela?!!!
 
Huu ni mstari mrefu wa watu 8000 vijana wa Kenya waliojitokeza kwenye

usaili wa kwenda kufanya kazi nchi ya Qatar
Kazi kama hiii ikitangazwa kwa ajili ya Watz utashangaa.

Vijana wa Tz wanaogopa kuondoka na kuacha mademu zao na mabwana zao hapa.

Utawasikia visingizio na vitisho kibao.
 
Utafanyaje kazi bila kujua lugha, hao Wakenya wanaenda kama Proffesionals

sio wakimbizi uwe una elewa mambo
Hivi ukiangalia hiyo picha unaona professionals hapo au wabeba mabox, Amazon workers na wafagia hospitali za wazee? Alafu nani anataka professional kutoka Kenya? Kama mtu ana professional validity ya kufanya kazi nje ya nchi basi tayari angekuwa ana occupation yake nchini na asingeenda kupanga foleni hapo.
 
Hao mabalozi nao wale wale charity begins at home. Ajira zikimwagwa kwa wingi kenya itapunguza wimbi la kujipeleka uarabuni

Kwa upande wetu ni ulaji kwa kwenda mbele,mabalozi wapo kama mapambo tu
Atleast kwamba Wana Mabalozi wanaojua changamoto za vijaana wao.

Je mabalozi wa TZ umewaona?
 
Hapo ndio umuhimu wa Kingreza unapo onekana na lugha yetu adhimu ya kiswahili kuonekana si lolote si chochote kwenye kutoboa kimataifa
 
Nomadic life ni historia ya mwanadamu....

Hakuna jipya chini ya jua, aliyeko ndani nataka kutoka aliye nje anataka kuingia.

Kabla ya kuweko kwa mioaka ya nchi enzi za ujima kizazi cha miaka hiyo kilihama kutoka eneo moja kwenda jingine kutafuta eneo litalomfaa na jamii yake na mifugo vigezo ni maji, malisho ya wanyama na mahala wanaweza pata chakula.

Kutoka afrika kwenda ulaya leo ama wanaotoka ulaya kurudi afrika na kwingineko ni historia inajirudia [emoji846].

Statistically hakuna mtu anatoka ulaya kuja Africa, unless unaongelea kurudi kitu ambacho kina refute hoja yako nzima. Dunia imebadirika, hakuna jamii zinazoishi kwa kuhama hama tena. Bali watu wanatengeneza makazi yao ya kudumu na kuyaendeleza kwa ajili ya vizazi vyao vijavyo. Kitu ambacho Waafrica tunatakiwa kufanya sasa hivi. Sababu mababu walishindwa. Wanachofanya hawa kinaitwa Freeloading for a reason.
 
Huu ni mstari mrefu wa watu 8000 vijana wa Kenya waliojitokeza kwenye

usaili wa kwenda kufanya kazi nchi ya Qatar
Wakenya ni wasakanyaji ile mbaya.

Nilishangaa kuona taarifa kupitia BBC kwamba Lebanon pekee kuna wakenya zaidi ya 26,000.
Hawa jamaa wametapakaa duniani.
 
Wakenya ni wasakanyaji ile mbaya.

Nilishangaa kuona taarifa kupitia BBC kwamba Lebanon pekee kuna wakenya zaidi ya 26,000.
Hawa jamaa wametapakaa duniani.
Wana ujasiri, bidii na nidhamu ya kazi.
 
Samahani, unazungumzia mababu wetu hawa waliokuwa wanawabeba kina Livingston kwenye machela?!!!
Kina Mkwawa, Dedan Kimathi, Shaka Zullu and the likes..., even the Pan Africanist of Yesteryear..., The likes of Sankara and Patrice Lumumba...., waliwafukuza hawa mabwana ili tuwe self reliant na leo tunapanga mistari na wengine kufa kwenye boti kila leo wakizamia.., by the way hio kubeba kwenye machela it was form of mobility at the time hata huko kwao unadhani nobles walibebwa na nani ?
 
Back
Top Bottom