Wakenya wakosa usingizi kwa kuwaza Tanzania

Wambie sisi tulishaumwa Corona toka mwezi wa 12
 
Watu wa low IQ ndo kila siku utawasikia wakitaja akili za watu na nani ako nayo nyingi zaidi.... najua hakuna lolote uliloelewa kwa hiyo taarifa ya ndii, Kwasababu ya uwezo mdogo wa kuhoji sera angalaia vile mshesharibu majadiliano sasa mnalinganisha Kenya VS Tanzania na ni media gani inafwatilia matukio ya nchi jirani... yaani mambo ya upuzi kabisa... Hii ndo level yako hauna uwezo wa kuenda zaidi ya hapa
 
Ujinga wenu ndio inayosababisha kushindwa kupunguza njaa, locust, ukabila na sasa Corona inawapelekesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga wenu ndio inayosababisha kushindwa kupunguza njaa, locust, ukabila na sasa Corona inawapelekesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mko na njaa nyingi kutushinda,
Corona haina lolote kuhusiana na akili za watu na ni watu watatu tu kwa kesi za Kenya amabo wameshikishwa corona bila kusafiri , hao wengine wote ni watu walioshikiswa corona nje ya nchi ndo wakaja nayo.
Locust walianzia nchi za middle east wakasafiri Sudan, Dgibouti, Somalia, Ethiopia... na pia sasa wameingia Uganda... Kati ya hizo nchi zote zilizoshindwa kupambana nao ni Kenya ndo ndo unaiona kwasababu uko obssesed na Kenya tu.
 
Vipi ukabila na rushwa?
Acheni maneno mengi na sababu nyingi, ninyi hamuwezi lolote, zaidi ya kupiga domo, kila tatizo linalokumba nchi yenu lazima mpate sababu ya kujiliwaza. Hivi kushindwa kuwazuia watu kuingiza Corona toka nje ya nchi sio tatizo la serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga wenu ndio inayosababisha kushindwa kupunguza njaa, locust, ukabila na sasa Corona inawapelekesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mko na njaa nyingi kutushinda,

Corona haina lolote kuhusiana na akili za watu na ni watu watatu tu kwa kesi za Kenya amabo wameshikishwa corona bila kusafiri , hao wengine wote ni watu walioshikiswa corona nje ya nchi ndo wakaja nayo.
Locust walianzia nchi za middle east wakasafiri Sudan, Dgibouti, Somalia, Ethiopia... na pia sasa wameingia Uganda... Kati ya hizo nchi zote zilizoshindwa kupambana nao ni Kenya ndo ndo unaiona kwasababu uko obssesed na Kenya tu.
 
Hahahaha, hahahaha. Domo kubwaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikiliza mnavyolalamika tukiamua kuzuia chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikilize kwa makini katibu mkuu wenu wa Wizara ya kilimo anavyohemea chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, hahahaha. Domo kubwaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unacheka vile tunawatajirisha wakulima wenu... Hiyo ni biashara bana, mkulima akiuza mahindi Kenya haimaanishi maskini Tanzania alipata lishe hadi akatosheka ndo huyo mkulima akaamua kuuza kilichobaki Kenya.

Hata sisi huuza cabegge, maharagwe, dengu, matunda na vinginevyo kwa nchi za Europe, haimaanishi eti Kenya nzima ilitosheka na hivyo vyakula ndo tukaamua kuuza huko nje, ni mkulima aliangalia nani analipa hela nzuri na kumletea faida zaidi..

KWahivyo bado wanao lala njaa ni walewale tu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…