Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sababu tunasema ninyi uwezo wenu wa akili ni mdogo Sana, unajua definition of being possessed by another person", is to be bothered by somebody's life.
Ebu nionyeshe any Kenyan media enye hutoa habari za Tanzania daily. Your news outlets can't even spend a day without mentioning Kenya. Kwani Kenya pekee ndio nchi hii dunia. Ufala kama huo huezipata media za Kenya ikifanya.Ndio sababu tunasema ninyi uwezo wenu wa akili ni mdogo Sana, unajua definition of being possessed by another person", is to be bothered by somebody's life.
Hapo taarifa zote ulizoonyesha zinaonyesha Kazi na wajibu wa vyombo vya habari ya kutoa Habari kwa yanayotokea Kenya, hakuna hata sehemu ambapo Tanzania inajilinganisha na Kenya.
Onyesha wapi ambapo Tanzania tunapoteza muda kujaribu kulinganisha kinachofanyika Kenya na kile kinachofanyika Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesahau kuwa JPM hata akikohoa tu inakuwa breaking news kwa media za Kenya 😂 😂 😂Ndio sababu tunasema ninyi uwezo wenu wa akili ni mdogo Sana, unajua definition of being possessed by another person", is to be bothered by somebody's life.
Hapo taarifa zote ulizoonyesha zinaonyesha Kazi na wajibu wa vyombo vya habari ya kutoa Habari kwa yanayotokea Kenya, hakuna hata sehemu ambapo Tanzania inajilinganisha na Kenya.
Onyesha wapi ambapo Tanzania tunapoteza muda kujaribu kulinganisha kinachofanyika Kenya na kile kinachofanyika Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
FactAlafu hio link ulio ileta ni summary haina content yeyote, nitakusaidia kwa ku post original article ya Ndii, enda ukaisome vizuri
Open Letter to President Uhuru Kenyatta
Hapo amesema sababu kuu ya Germany kutokua na vifo vingi licha ya wao kua na kesi nyingi za corona ni kua Germany wako na ICU beds nyingi kushinda Italy na France...
Ukiangalia takwimu za vifo, Ni kweli kwamba Germany iko na vifo vichache licha ya kua na kesi nyingi za corona kuliko nchi kama France na Italy.
View attachment 1399338
Lakini ukitafuta hizo data za ICU per 100,000
View attachment 1399340
USA iko na vitanda vingi vya wagonjwa mahututi kuliko nchi yoyot ile lakini tayari wengi wamekufa kuliko Germany, Alafu ukiangalia hapo Italy ni ya tatu duniani kwa kuwa na vitanda vingi vya ICU mbona wamekufa wengi zaidi ya nchi nyengine duniani? na vipi China ambao wako nyuma ya Italy na Spain kwa vitanda, mbona wameweza ku contain usambazaji na vifo???
David Ndii aliangalia na akachagua kutumia huo mfano wa Germerny na Italy maksudi kwasababu ulikua unaendana na hoja yake ambayo alikua anataka kuonyesha kwamba Kenya haina vitanda vya kutosha kwa wagonjwa mahututi. Hii ndo maana hua napenda kuambia watu mkisoma taarifa zengine hata ziwe zimeandikwa na nani, soma kisha ufikirie mwenyewe (think for yourself! mungu alikupa akili), kama mtu ametaja kitu flani chunguza kivyako kama ni kweli, usikue una download habari tu na kuamini kila kitu kwasababu alie andika ni mtaalam, unaweza kua manipulated hadi ukaamua kuua kakako kwasababu mtaalam alisema hivyo ndo sawa kulingana na takwimu zake.
Na saa zengine uache kuwashwa na pilipili usio ila, David Ndii alikua anakashifu Kenya.... sasa wewe unacheka kwasababu anakashifu uongozi na serekali ya Kenya kana kwamba hali ni shwari Tanzania....... Mimi hua nawaambia kila siku, Tanzania hamna wanahabari, hamna watu jasiri walio na akili ya kuchunguza na kuuliza maswalimuhimu kwa serekali ya siku mumeachia hio kazi kwa viongozi wa upinzani, wanasiasa ambao wako na malengo yao.
Tanzania iko na ICU kidogo kuliko Kenya.
Tanzania iko na hospital beds kidogo kuliko Kenya..
Lakini hautaona mwanahabari yeyote huko TZ ana thubutu kuuliza maswali muhimu kama hayo ambayo Ndii anauliza , kazi yao ni kuripoti ni yepi ambayo magu ametamka leo.
------
Lakini kwa upande mwengine, na support hayo mawaidha ya Ndii ya kwamba Serekali ikabe matumizi na ifutilie mbali mipango kadhaa ya kiserekali ambayo si muhimu kwa sasa hadi serekali ibaki na angalau $1B ambazo zitatumika kwa economic stimulus program baada ya janga la corona kuisha ili kufidia wanabiashara na kufufua viwanda, ma kampuni na uchumi kwa jumla.Yani hizi $1B itakua ni pesa zinaenda kwa mikononi mwa watu na biashara ili warudi kwa hali ilio sawa baada ya kufilisishwa na matukio yanayofanyika sasa....
Amesahau kuwa JPM hata akikohoa tu inakuwa breaking news kwa media za Kenya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Madhara ya kutumia changaa kama chai.Maybe Kenya ingine. Some Kenya hawajui hata President wa Tanzania ni nani wakati nyinyi mnajua hadi all the 47 elected Women Rep's in Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
PambeWhy Kenya is Miles Ahead of Tanzania in the Fight Against Coronavirus
Hii ndio hali ilipofikia kwa jirani wetu, kwamba lazima wajaribu kujiliwaza hata Kama kwake mambo yanaharibika. Japo Kenya idadi ya maambukizi ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania, lakini kutokana na tabia ya kujisifu, kwao wanadhani wao bado wapo vizuri ktk kupambana na kusambaa kwa Corona kuliko Tanzania.
Tabia ya kujimwambafy ndio sababu kubwa kunaifanya Kenya kushindwa kujifunza toka kwa anayofanya vizuri, hivyo kuifanya Kenya kuzidi kurudi nyuma kila mwaka.
cc. Tony254
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ya kutumia changaa kama chai.
Hapa nimekupa baadhi tu.
Acha kunywa changaa kama chai.I'm happy you are tagging Tuko. Hao huwa wamekosa mwelekeo kama nyinyi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app