joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Rais wa Somalia amepigia rais wa Kenya kuomba msamaha
Ati Msamaha! π ππRais wa Somalia amepigia rais wa Kenya kuomba msamaha
Hahahaha, kitendo cha majeshi ya nchi jirani kuvuka mpaka wenu bila hofu na wanarudi kwao bila wasiwasi wowote ni ishara tosa kwamba hakuna nchi jirani inayotishika na kuogopa KDF.Rais wa Somalia amepigia rais wa Kenya kuomba msamaha
Ebu KDF ijaribu kuingilia Tanzania tuone!Hahahaha, kitendo cha majeshi ya nchi jirani kuvuka mpaka wenu bila hofu na wanarudi kwao bila wasiwasi wowote ni ishara tosa kwamba hakuna nchi jirani inayotishika na kuogopa KDF.
Kama huyo mtangazaji anavyosema, Uganda, South Sudan na Ethiopia walishafanya hivyo mara kadhaa lakini hakuna lolote liliowapata.
Jambo la kusikisha ni kwamba, baadhi ya wakuu wenu wa polisi walianza kupinga kwamba sio kweli ili kuficha hiyo aibu. Unakumbuka hata baadhi yenu mlianza kwa kupinga hapa jamii forum kwamba hawakuvuka mpaka, kama kawaida yenu mkasema hatujaelewa kiingereza, ninyi ni watu wa hovyo sana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nionyeshe wapi walivuka mpaka???Hahahaha, kitendo cha majeshi ya nchi jirani kuvuka mpaka wenu bila hofu na wanarudi kwao bila wasiwasi wowote ni ishara tosa kwamba hakuna nchi jirani inayotishika na kuogopa KDF.
Kama huyo mtangazaji anavyosema, Uganda, South Sudan na Ethiopia walishafanya hivyo mara kadhaa lakini hakuna lolote liliowapata.
Jambo la kusikisha ni kwamba, baadhi ya wakuu wenu wa polisi walianza kupinga kwamba sio kweli ili kuficha hiyo aibu. Unakumbuka hata baadhi yenu mlianza kwa kupinga hapa jamii forum kwamba hawakuvuka mpaka, kama kawaida yenu mkasema hatujaelewa kiingereza, ninyi ni watu wa hovyo sana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Be careful what you wish for....Ebu KDF ijaribu kuingilia Tanzania tuone!
Msikilize huyo mtangazaji anataja matukio yote ya nchi jirani zilizovuka mpaka wenu. Kama alivyopinga huyo mkuu wenu wa polisi kwamba majeshi ya Somalia hayakuvuka, na wewe unapinga analosema huyo mtangazaji?. Ninyi ni kawaida yenu kutokubali udhahifu wenu. Kitu kimoja lazima mkubali ni kwamba, "There is no a single country which respects Kenya nowdays".Hebu nionyeshe wapi walivuka mpaka???
Ona jinsi majirani wanavyowachezea kama watoto wadogoHebu nionyeshe wapi walivuka mpaka???
Weeeeeeeee, wacha kabisa usipime sumu kwa kuionja kwa ulimiBe careful what you wish for....
Hahahaha mnatumia tacktics za conventional warfare kufanya mafunzo ya porini (jungle warfare) pwahahahaha nyinyi mmepotea kabisa
Mkuu tusiombee hii kitu japo tutawapiga lkn na cc tutaumiza watu wasio na hatiaEbu KDF ijaribu kuingilia Tanzania tuone!
[emoji3][emoji3]
Imebidi Mechi chekeEbu KDF ijaribu kuingilia Tanzania tuone!
Lete za KDF tuonee, HahahahaHahahaha mnatumia tacktics za conventional warfare kufanya mafunzo ya porini (jungle warfare) pwahahahaha nyinyi mmepotea kabisa
Namna tutakavyo timba mombasani πππ
KDF inaingia Hadi Ikulu ya Magu bill wasiwasi.Ebu KDF ijaribu kuingilia Tanzania tuone!
KDF hawabangui korosho na kupasua mawe πππ