The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka data za kuonyesha kwamba viwanda vya nguo vya Kenya vinategemea pamba ya Tanzania?, au data ya kwamba zaidi ya kampuni 500 za wakenya zipo Tanzania?, au kwamba bidhaa za Kenya zinahitaji kupitia Tanzania ili kufika nchi za kusini mwa Afrika?. Stupid
Mwenzako kakuletea data kuhusu kenya na uganda ndio ziantegemeana sana kibiashara.Unataka data za kuonyesha kwamba viwanda vya nguo vya Kenya vinategemea pamba ya Tanzania?, au data ya kwamba zaidi ya kampuni 500 za wakenya zipo Tanzania?, au kwamba bidhaa za Kenya zinahitaji kupitia Tanzania ili kufika nchi za kusini mwa Afrika?. Stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya business strategy[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
Battle: Dar es Salaam vs Nairobi
Akili zenu ni ndogo ndio sababu hamuwezi kuelewa uchumi wa nchi unavyoweza kutikisika. Yeye amezungumzia biashara pekee, mimi ninazungumzia "Commerce", utauza nini kama viwanda vyenu havizalishi kutokana na ukosefu wa Malighafi?, kama kile mnachozalisha hakifiki sokoni?, au mnadhani tukizuia bidhaa zenu kufikia Soko la nchi za kusini mwa Africa uchumi wenu hautoyumba?, tukiyafunga na kuyafukuza makampuni yenu 500 yaliyowekeza zaidi ya $2B uchumi hautoyumba?, tumieni akili kufikiria japo mara moja kwa mwezi.Mwenzako kakuletea data kuhusu kenya na uganda ndio ziantegemeana sana kibiashara.
Wewe unaleta porojo nyingi, ilitakiwa ulete data za kupinga hoja yake wala sio kurukaruka km kuku mgeni..
Sasa jiulize mjinga nani hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nielekeze hyo strategy inayofanya muwanyime ajira raia na kuwapa wageni zooteee [emoji3][emoji3]
Hebu nionyeshe wapi walivuka mpaka???
Ajira zote zipi hzoHebu nielekeze hyo strategy inayofanya muwanyime ajira raia na kuwapa wageni zooteee [emoji3][emoji3]
Bado unaandika porojo tu, wala sijaona mahala umeleta data za kumpinga aliyeileta hii mada..Akili zenu ni ndogo ndio sababu hamuwezi kuelewa uchumi wa nchi unavyoweza kutikisika. Yeye amezungumzia biashara pekee, mimi ninazungumzia "Commerce", utauza nini kama viwanda vyenu havizalishi kutokana na ukosefu wa Malighafi?, kama kile mnachozalisha hakifiki sokoni?, au mnadhani tukizuia bidhaa zenu kufikia Soko la nchi za kusini mwa Africa uchumi wenu hautoyumba?, tukiyafunga na kuyafukuza makampuni yenu 500 yaliyowekeza zaidi ya $2B uchumi hautoyumba?, tumieni akili kufikiria japo mara moja kwa mwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
StupidBado unaandika porojo tu, wala sijaona mahala umeleta data za kumpinga aliyeileta hii mada..
Mwenzako kasema kenya na uganda zinategemeana kibiashara, sasa ulitakiwa upinge kw data wala sio kuandika insha zisizokua na maantiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Data c hizi hapa [emoji116][emoji116] unataka data gn budaa, et[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pia usisahau kwamba hakuna bilionea kenya, Dah inauma sana [emoji3][emoji3]Bado unaandika porojo tu, wala sijaona mahala umeleta data za kumpinga aliyeileta hii mada..
Mwenzako kasema kenya na uganda zinategemeana kibiashara, sasa ulitakiwa upinge kw data wala sio kuandika insha zisizokua na maantiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaaa!!!jipeni matumaini tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Data c hizi hapa [emoji116][emoji116] unataka data gn budaa, et[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pia usisahau kwamba hakuna bilionea kenya, Dah inauma sana [emoji3][emoji3]View attachment 1382181
Naomba wewe mwenye akili kubwa pia ushirikishe ubongo wako uone hili, hayo makampuni yakifungwa uchumi wa Tz pia utayumba. Ajira kwa watanzania na ushuru kwa serikali yenu?Akili zenu ni ndogo ndio sababu hamuwezi kuelewa uchumi wa nchi unavyoweza kutikisika. Yeye amezungumzia biashara pekee, mimi ninazungumzia "Commerce", utauza nini kama viwanda vyenu havizalishi kutokana na ukosefu wa Malighafi?, kama kile mnachozalisha hakifiki sokoni?, au mnadhani tukizuia bidhaa zenu kufikia Soko la nchi za kusini mwa Africa uchumi wenu hautoyumba?, tukiyafunga na kuyafukuza makampuni yenu 500 yaliyowekeza zaidi ya $2B uchumi hautoyumba?, tumieni akili kufikiria japo mara moja kwa mwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuyafungi, bali tunayataifisha na kuwapa wawekezaji wengine waweze kuyaendesha, umeelewa?Naomba wewe mwenye akili kubwa pia ushirikishe ubongo wako uone hili, hayo makampuni yakifungwa uchumi wa Tz pia utayumba. Ajira kwa watanzania na ushuru kwa serikali yenu?
Kuyaendesha kw akili zipi yani, hzo za st kayumba au?Sisi hatuyafungi, bali tunayataifisha na kuwapa wawekezaji wengine waweze kuyaendesha, umeelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile zilizosababisha Mo Dewji, Bakhresa na Rostam Aziz kuwa matajiri wakubwa zaidi hapa EA, na watanzania kuwa na matajiri wengi kuliko Kenya. Hahahaha
Wahindi hoyeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zile zilizosababisha Mo Dewji, Bakhresa na Rostam Aziz kuwa matajiri wakubwa zaidi hapa EA, na watanzania kuwa na matajiri wengi kuliko Kenya. Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yahee kwani mwauza "slums"zenu sasa mkiuza slums mtaishi wapi !!!?? Maana bidhaa za Kenya ni slums tu labda unazungumzia bidhaa za mabeberu zilizopo kenyaUhuru anataka TAnzania na Uganda na Rwanda zifungue mipaka yao bila kizuizi ili bidhaa za Kenya ziuzwe kwa wingi.... Lolote ambalo litatishia hayo kufanyiko ni tishio kwa Uchumi na wanabiashara wa Kenya... I'ts all about business!
Kuna nchi hapa EA inaBwahahaaaa!!umeumia kuona picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wivu m'baya jamani
Sent using Jamii Forums mobile app