Wakenya walalamikia udhahifu wa nchi yao kufuatia majeshi ya Somalia kuvuka na kushambulia ndani ya Kenya

Ushawahi kusikia msemo wa all warefare is based on deception?
Mtangazaji wa anatumia ripoti ilioandikwa na serekali ikisema Somali iwachee kuchokoza sovereignty ya Kenya.....
Kabla hili tukio litokee, Somali walisema Kenya imechukua mpaka wa Somali na kuusukuma ndani ya Somalia....

Hizo statements zote mbili zilikua exageration of facts on the ground ili kuenekana kama victim kwa international community... Actual facts on the groung ni Jeshi la Somalia lilipigana mpakani mwa Somali-Kenya.... Jubaland army ndo waliruhusiwa Kuingia Kenya wakikwepa hivyo vita... Na ahawakuingia tu bila ruhusa, walipewa ruhusa


Hapa ni border point 1, Unaona polisi wa Kenya (Administration police) wakiwa wanashika Doria huku Jubaland army wakivuka mpaka... Somali army hawakuvuka hapa!




wallipelekwa hapo Mandera police station kisha baadae wakaondolewa hadi kambi ya KDF ndo wapeleke magari yao huko.... Pia waliruhusiwa kupeleka waliojeruhiwa hospitali ya Mandera County hospital








Haya yote ni matukio ambayo yako documented kwa picha na pia wakaazi wenyewe ....
 
Hahahaha, acha maneno mengi, jeshi lenu ni dhahifu sana ndio sababu kila nchi inavamia na kuingia ndani ya Kenya na kuua wakenya vile watakavyo
Kenyan Sovereign Territory Is Invaded by the aggressive and expansionist TPLF Army (Ethiopian) Today!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] propaganda on its finnest.

Sent using Jamii Forums mobile app




Mr. President JFS
@M_Family
and Kenyan President Uhuru Kenyatta over the telephone line discussed the importance of working jointly between the two countries in maintaining border security and overall regional stability.
 

Mr. President JFS
@M_Family
and Kenyan President Uhuru Kenyatta over the telephone line discussed the importance of working jointly between the two countries in maintaining border security and overall regional stability.
Hivi mbona hujibu kwanini nchi jirani na Kenya zinapenda kuingia katika ardhi ya Kenya na kufanya mashambulizi?.

Mnaona jinsi mnavyojichanganya, mnasema majeshi ya Somalia hayakuvuka kuingia Kenya, sasa mnasema Farmajo ameomba Samahani kwa kuingia Kenya. Ukweli ni kwamba KDF ni dhahifu hakuna nchi inatishika kuivamia Kenya
Kenyan Sovereign Territory Is Invaded by the aggressive and expansionist TPLF Army (Ethiopian) Today!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Farmajo ameomba msamaha wa kuichokoza Kenya na kuitumia kama scape goat kwa shida zinazomkumba kisiasa... Kumbuka ni yeye ndo ali accuse Kenya kwamba tunaingilia mpaka wa Somalia.. Kitu ambacho ilikua ni uongo....

Na kujibu Swali lako la kwanza, Ukiwa wewe ndo ni alpha dog, kila kidume kijijini anataka kukujaribu ili ajionyeshe pia yeye ni mwanamme..... Shida ya Kenya ni kwamba sisi hua hatuna hizo tactics za kuonyesha ubabe namna hio... Ndio maana hata zile enzi za Idi Amin, wanajeshi wa Idi amin walipojaribukuvuka mpaka ni polisi wa Administration police walitumwa kupambana nao badala ya KDF........Wakati wa dictator Moi ndo tuliwahi kuona tactics kama hizo zikitumika, Moi alikua na mtindo wa kutuma fighter jets zinapita zikiwa chini chini kabisa hapo kwa mpaka hadi wanajeshi wa Somalia wanatishika na hizo sauti kali. Lakini ma rais wengine wa Kenya hawajawahi kufanya hivyo. Sio eti hatuna uwezo ni vile tu hatuna haja ya kufanya vituko kama hivyo... Nchi kama Ethiopia rais wao akifanya hivyo, wananchi wanafurahi ... Huku Kenya rais akifanya hivyo bila provocation yoyote wananchi wanakasirika na kumkashifu rais kuwa yeye ni 'dictator'. Hii ni kwasababu we have always handled things diplomatically, and it has always worked..... HAta ukiangalia siasa za Kenya hua ziko hivyo tu,... Raila ali boycot elections, akajiapisha kama Rais, Akamtukana Uhuru kuwa yeye ni mwizi na mfisadi, akasema kenya inahitaji revolution ya kuondoa rais...etc.... Alafu miezi michache uhuru na raila wanakumbatiana na kuwa marafiki wa dhati.... Kama Raila angekua S.Sudan au Ethiopia au hata TZ chini ya Magufuli unadhani Raila angekua wapi sahii???
 
Kwahiyo raia wa Kenya wakiuliwa na majeshi toka nchi jirani ndani ya ardhi ya Kenya pia hamchukui hatua zozote?, kweli ninyi ni failed state. Taja ni nchi gani hapa duniani ambapo majirani zake wanaingia katika ardhi yake na kushambulia raia wake na haifanyi lolote. Unajua kwanini Tanzania hakuna jirani wetu hata mmoja anaweza kutucheze, wote wanaogopa kilichompata Idd Amin na M23, ndio faida ya kuwa na jeshi imara na lenye nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha ushabik wakijinga!.
 
Udhahifu maana yake nini mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KDF Soldiers Hid As Al-Shabaab Killed Americans-New York Times.

Hao waoga waingie wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…