Yahee kwani mwauza "slums"zenu sasa mkiuza slums mtaishi wapi !!!?? Maana bidhaa za Kenya ni slums tu labda unazungumzia bidhaa za mabeberu zilizopo kenya
Gold, Diamond, Tanzanite..... Hizo ndo your biggest export... kampuni zote zinazoshughulikia hizo exports ni Kamuni za mabeberu! Yani hata kama hio mayonda na nyani pekee ndo wangekua wakazi wa hio ardhi ambayo inaitwa Tanzania, bado Tanzania ingekua ina export hizo vitu manake hao mabeberu bado wangefika hapo na waelewane ma nyani!