Wakenya walioko China waambiwa wajiandae, serikali inatangaza tarehe ya kwenda kuwachukua

Wakenya walioko China waambiwa wajiandae, serikali inatangaza tarehe ya kwenda kuwachukua

Mean while in Tanzania.
Serikali ya ccm kupitia balozi wake amesema kuwa Tz ina ushirikiano mzuri sana na wachina toka kipindi cha mao tse makali&?

Joke aside:
Crap incompetent. Magufuli governments will never do this.
They just dont have this brain
Tufanye kisa kenya kafanya? What piece of crap this is!
 
Mbona ni kama umeamka kutoka kitandani na kuanza kuandika andika kabla haujanawa uso na kujua nini kinaendelea kwanza?
Uchina sasa hivi wanapokea awamu ya pili ya Corona, tafuta taarifa uone Wuhan ilikoanzia ndio kama imewageuzia uso upya.
Sijapata hiyo taarifa

Weka link.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kwa ajili ya Wakenya tu

The Kenyan government has asked its nationals living in China and willing to be evacuated at own cost to file their contact details as soon as possible.
Officials at the Kenyan Embassy in Beijing issued a notice on Friday asking anyone ready to buy a ticket out of China to send their information via an online platform to be helped out of the country, via Guangzhou, the commercial city in the southern Guangdong province.
Kenya ready to evacuate citizens from China
Ifike mahali waafrika tuache umbumbumbu. Wakenya kwenda kuchukua wenzenu siyo jambo la kujisifia ukitilia maanani mtaacha waafrika wenzenu. Kwenye macho ya wazungu na waasia nyie ni matumbili kama wanavyowaona waafrika wengine na tutaendelea kubaguliwa tukiendelea na hizi akili za ubinafsi wa mawazo na maarifa. Africa must unite.
 
Thumb up to our neighbors. For us we are in second day of prayers to chase away COVID 19, The majimaji war aproach
 
Chukuen ndugu zenu Ila watz kule wanaish fresh tu wachina wanajua wajinga ni kina Nan so wakikuona ni Black wanauliza passport yako ukiwa tofauti na tz umeolewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Amka toka usingizini mkuu. Mbele ya mchina rangi nyeusi ni takataka tu regardless umetokea nchi gani, Hadi black americans wapo mashakani sembuse wewe wa ulimwengu wa 3?
 
Ifike mahali waafrika tuache umbumbumbu. Wakenya kwenda kuchukua wenzenu siyo jambo la kujisifia ukitilia maanani mtaacha waafrika wenzenu. Kwenye macho ya wazungu na waasia nyie ni matumbili kama wanavyowaona waafrika wengine na tutaendelea kubaguliwa tukiendelea na hizi akili za ubinafsi wa mawazo na maarifa. Africa must unite.
Unamaanisha kwamba serikali ya Kenya isiwarudishe wakenya nyumbani kwasababu serikali ya Tz haijafanya hivyo? Kisa eti umoja wa waafrika? Mna serikali yenu na rais mliomchagua nyinyi wenyewe, hivyo hivyo kwa wakenya. Huo umoja unaouzungumzia ulikuwa wapi mlipotia moto vifaranga kutoka Kenya na kupiga mnada ng'ombe wa wafugaji wakenya?
 
Hii ni kwa ajili ya Wakenya tu

The Kenyan government has asked its nationals living in China and willing to be evacuated at own cost to file their contact details as soon as possible.
Officials at the Kenyan Embassy in Beijing issued a notice on Friday asking anyone ready to buy a ticket out of China to send their information via an online platform to be helped out of the country, via Guangzhou, the commercial city in the southern Guangdong province.
Kenya ready to evacuate citizens from China
Upuuzi mtupu,sasa inasaidia vipi kama gharama za kusafiri unajilipia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha kwamba serikali ya Kenya isiwarudishe wakenya nyumbani kwasababu serikali ya Tz haijafanya hivyo? Kisa eti umoja wa waafrika? Mna serikali yenu na rais mliomchagua nyinyi wenyewe, hivyo hivyo kwa wakenya. Huo umoja unaouzungumzia ulikuwa wapi mlipotia moto vifaranga kutoka Kenya na kupiga mnada ng'ombe wa wafugaji wakenya?
Hapa naongolea jinsi mleta mada anavyoona ni jambo la kujinadi. Ukikaa nje ya Afrika utagundua wenzetu hawaoni tofauti ya Mtz na Mkenya kwenye macho yao sisi ni weusi tu.
 
Na wale wachina wanofanyabiasha Gikomba wafukuzeni warudi kwao
 
Waafrika ni watu waajabu sana.
Mchina akifungua kagenge ka kuuza nyanya uswahilini watu wote wanakimbilia kununua kwake na kuacha magenge ya waafrika wenzao.
Hata maduka ya wahindi watu wanakimbiilia maduka ya wahindi wanaacha ya waafrika wenzao.

Hata tenda za kujenga barabara wanapewa wachina badala ya waafrika wenzetu na fedha ni kodi zetu wenyewe.

Waafrika hatujitambui ndio maana tunaitwa nyani na tumbili hatuna maamuzi yenye akili na maarifa ya mbali zaidi ya kutafuta chakula cha leo kwa kuwafurahisha wachina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi nchini Kenya imemkamata dereva aliyekuwa na virusi vya corona pamoja na abiria watatu waliojidai kuwa waombolezaji wanaoelekea kwa mazishi.

Wanne hao waliokuwa wamesafiri zaidi ya kilomita 370 kutoka Nairobi wakiwa wamebeba jeneza tupu walikamatwa katika jimbo la Homa Bay magharibi mwa Kenya.

Tukio hilo la kushangaza liliangaziwa na Waziri wa Afya wa Kenya Bw. Mutahi Kagwe Jumamosi, ambaye pia alithibitisha kuwa watu hao walifanikiwa kuhadaa polisi na kupita vizuizi kadhaa wakiwa na jeneza hilo.

Image caption
Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe
Bw. Kagwe aliongeza kuwa dereva huyo ametengwa na abiria wake watatu kuwekwa karantini.

Waziri wa Afya alisema serikali inachunguza madai kwamba baadhi ya watu wanatoa hongo kwa polisi wanaolsimamia vizuizi vya barabarani.

Malori yanayoenda safari za mwendo mrefu pia zinachunguzwa kutokana na madai ya kuwasafirisha watu kinyemela kutoka jijini Nairobi.

Karibu wiki mbili zilizopita serikali ya Kenya ilitangaza hatua kali za kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona ambapo iliweka marufuku ya usafiri wa kuingia na kutoka mkuu wa Nairobi na maeneo mengine matatu ambayo yanasadikiwa kuwa na viwango vya juu vya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19.

Kufikia sasa Kenya ina jumla ya wagonjwa 262 wa covid-19 baada ya watu 16 wapya kuthibitishwa kuwa na virusi Jumamosi

BBC
 
Ifike mahali waafrika tuache umbumbumbu. Wakenya kwenda kuchukua wenzenu siyo jambo la kujisifia ukitilia maanani mtaacha waafrika wenzenu. Kwenye macho ya wazungu na waasia nyie ni matumbili kama wanavyowaona waafrika wengine na tutaendelea kubaguliwa tukiendelea na hizi akili za ubinafsi wa mawazo na maarifa. Africa must unite.

Balozi wenu amesema mna undugu na Wachina, hivyo endeleeni kupokea mateso ya Wachina msijali, maana hata Bongo penyewe mumeyazoea...

2371932_Clipboard03.jpg
 
Balozi wenu amesema mna undugu na Wachina, hivyo endeleeni kupokea mateso ya Wachina msijali, maana hata Bongo penyewe mumeyazoea...

2371932_Clipboard03.jpg
Narudia ukiwa nje ya afrika, wenzetu hawaoni tofauti kati ya mtz wala mkenya wanaona watu weusi tu. Na utabaguliwa na kunyanyaswa kwa uafrika wako na hamna special treatment kwa mtz wala mkenya kwenye macho yao sisi sote ni weusi tu. Hizi habari za kuchekelea kuona mwafrika mwenzako anabaguliwa au kunyanyaswa na mzungu au mtu wa asia kisa siyo mwafrika wa taifa lako au kwamba mataifa yenu yanaushindani ni jambo la kipumbavu kwasababu kama mwaafrika unapoteza zaidi kuliko kushinda.
 
Back
Top Bottom