Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Tusipangiane cha kupostHapa tunaongelea your fellow Africans being segregated in China because of the skin color
Tuheshimiane 😐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusipangiane cha kupostHapa tunaongelea your fellow Africans being segregated in China because of the skin color
Dogo nitakupiga ban.Tusipangiane cha kupost
Tuheshimiane 😐
Nikujue ili iweje? 😅Dogo nitakupiga ban.
Unanijua vizuri wewe?
Mi ni mudi hapa kwa hio tulia akson
Tufanye kisa kenya kafanya? What piece of crap this is!Mean while in Tanzania.
Serikali ya ccm kupitia balozi wake amesema kuwa Tz ina ushirikiano mzuri sana na wachina toka kipindi cha mao tse makali&?
Joke aside:
Crap incompetent. Magufuli governments will never do this.
They just dont have this brain
We piga maombiTufanye kisa kenya kafanya? What piece of crap this is!
Get your stinking ass hole outta here...Crap
What you trina to say pinhead wanker twat village idiot? Better shut off ya bucks
Sijapata hiyo taarifaMbona ni kama umeamka kutoka kitandani na kuanza kuandika andika kabla haujanawa uso na kujua nini kinaendelea kwanza?
Uchina sasa hivi wanapokea awamu ya pili ya Corona, tafuta taarifa uone Wuhan ilikoanzia ndio kama imewageuzia uso upya.
Ifike mahali waafrika tuache umbumbumbu. Wakenya kwenda kuchukua wenzenu siyo jambo la kujisifia ukitilia maanani mtaacha waafrika wenzenu. Kwenye macho ya wazungu na waasia nyie ni matumbili kama wanavyowaona waafrika wengine na tutaendelea kubaguliwa tukiendelea na hizi akili za ubinafsi wa mawazo na maarifa. Africa must unite.Hii ni kwa ajili ya Wakenya tu
The Kenyan government has asked its nationals living in China and willing to be evacuated at own cost to file their contact details as soon as possible.
Officials at the Kenyan Embassy in Beijing issued a notice on Friday asking anyone ready to buy a ticket out of China to send their information via an online platform to be helped out of the country, via Guangzhou, the commercial city in the southern Guangdong province.
Kenya ready to evacuate citizens from China
Hii ni kwa ajili ya Wakenya tu

Chukuen ndugu zenu Ila watz kule wanaish fresh tu wachina wanajua wajinga ni kina Nan so wakikuona ni Black wanauliza passport yako ukiwa tofauti na tz umeolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kwamba serikali ya Kenya isiwarudishe wakenya nyumbani kwasababu serikali ya Tz haijafanya hivyo? Kisa eti umoja wa waafrika? Mna serikali yenu na rais mliomchagua nyinyi wenyewe, hivyo hivyo kwa wakenya. Huo umoja unaouzungumzia ulikuwa wapi mlipotia moto vifaranga kutoka Kenya na kupiga mnada ng'ombe wa wafugaji wakenya?Ifike mahali waafrika tuache umbumbumbu. Wakenya kwenda kuchukua wenzenu siyo jambo la kujisifia ukitilia maanani mtaacha waafrika wenzenu. Kwenye macho ya wazungu na waasia nyie ni matumbili kama wanavyowaona waafrika wengine na tutaendelea kubaguliwa tukiendelea na hizi akili za ubinafsi wa mawazo na maarifa. Africa must unite.
Upuuzi mtupu,sasa inasaidia vipi kama gharama za kusafiri unajilipia!Hii ni kwa ajili ya Wakenya tu
The Kenyan government has asked its nationals living in China and willing to be evacuated at own cost to file their contact details as soon as possible.
Officials at the Kenyan Embassy in Beijing issued a notice on Friday asking anyone ready to buy a ticket out of China to send their information via an online platform to be helped out of the country, via Guangzhou, the commercial city in the southern Guangdong province.
Kenya ready to evacuate citizens from China
Hapa naongolea jinsi mleta mada anavyoona ni jambo la kujinadi. Ukikaa nje ya Afrika utagundua wenzetu hawaoni tofauti ya Mtz na Mkenya kwenye macho yao sisi ni weusi tu.Unamaanisha kwamba serikali ya Kenya isiwarudishe wakenya nyumbani kwasababu serikali ya Tz haijafanya hivyo? Kisa eti umoja wa waafrika? Mna serikali yenu na rais mliomchagua nyinyi wenyewe, hivyo hivyo kwa wakenya. Huo umoja unaouzungumzia ulikuwa wapi mlipotia moto vifaranga kutoka Kenya na kupiga mnada ng'ombe wa wafugaji wakenya?
Ifike mahali waafrika tuache umbumbumbu. Wakenya kwenda kuchukua wenzenu siyo jambo la kujisifia ukitilia maanani mtaacha waafrika wenzenu. Kwenye macho ya wazungu na waasia nyie ni matumbili kama wanavyowaona waafrika wengine na tutaendelea kubaguliwa tukiendelea na hizi akili za ubinafsi wa mawazo na maarifa. Africa must unite.
Narudia ukiwa nje ya afrika, wenzetu hawaoni tofauti kati ya mtz wala mkenya wanaona watu weusi tu. Na utabaguliwa na kunyanyaswa kwa uafrika wako na hamna special treatment kwa mtz wala mkenya kwenye macho yao sisi sote ni weusi tu. Hizi habari za kuchekelea kuona mwafrika mwenzako anabaguliwa au kunyanyaswa na mzungu au mtu wa asia kisa siyo mwafrika wa taifa lako au kwamba mataifa yenu yanaushindani ni jambo la kipumbavu kwasababu kama mwaafrika unapoteza zaidi kuliko kushinda.Balozi wenu amesema mna undugu na Wachina, hivyo endeleeni kupokea mateso ya Wachina msijali, maana hata Bongo penyewe mumeyazoea...
![]()