Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wenzenu wamechukua hatua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni juzi tu mlikua bado mnaibeza Kenya, najua inakaa ni kama ni mwaka umepita, sasa sijui mtasemaje manake ndani ya hizi siku chache mmekuja vibaya sana ! nyinyi ndo mnaongoza kwa kazi ya maambukizi, mkiendelea hivi, tupatie siku mbili na mtakua mnaongoza ukanda huu, sasa tuelezee alie laniwa ni nani hapa manake kesi 84 ndani ya masaa 24 si jambo la kuchukulia mchezoMpaka saivi Kenya inaongoza ukanda huu kwa maambukizi ya Corona, pamoja na kuua raia wake zaidi ya 20 kwa kipigo kikali cha police na stampede, bado haijasaidia kabisa kupunguza kasi ya maambukizi
Hivi wakenya nani aliwalaani? 🤔