Wakenya walioko China waambiwa wajiandae, serikali inatangaza tarehe ya kwenda kuwachukua

Wakenya walioko China waambiwa wajiandae, serikali inatangaza tarehe ya kwenda kuwachukua

China 1-Kenya 0

Mpaka sasa

Wachina sio rahisi kuwashinda

2371932_Clipboard03.jpg
 
Mpaka saivi Kenya inaongoza ukanda huu kwa maambukizi ya Corona, pamoja na kuua raia wake zaidi ya 20 kwa kipigo kikali cha police na stampede, bado haijasaidia kabisa kupunguza kasi ya maambukizi

Hivi wakenya nani aliwalaani? 🤔
Ni juzi tu mlikua bado mnaibeza Kenya, najua inakaa ni kama ni mwaka umepita, sasa sijui mtasemaje manake ndani ya hizi siku chache mmekuja vibaya sana ! nyinyi ndo mnaongoza kwa kazi ya maambukizi, mkiendelea hivi, tupatie siku mbili na mtakua mnaongoza ukanda huu, sasa tuelezee alie laniwa ni nani hapa manake kesi 84 ndani ya masaa 24 si jambo la kuchukulia mchezo
 
Back
Top Bottom