Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Mabehewa ni mazuriVipi huduma, mabehewa yetu je?
Na bado, tukija kujenga tena underground trains hapo Dar, ndio watakufa kwa wivu.Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno, raia wa Afrika Mashariki hasa watanzania tulikoma kwa matusi na kejeli. Wakenya walisikika wakisema Watanzania nchi yao imejaa rasilimali nyingi lakini hawana akili ya kujiletea maendeleo.
Basi Mungu mkubwa utawala wa Rais Kikwete ukaisha na mwaka 2015 akaingia mbeba maono na mfuta aibu za watanzania Rais Magufuli, ghafla Tanzania iliyokuwa na ndege moja ikageuka kuwa na ndege nyingi na ikajenga treni ya SGR ya umeme tofauti kabisa na ile ya kishamba ya wakenya inayotumia dizeli tu!.
Hiki kitendo cha watanzania kujenga reli ya umeme na kuwafunika wakenya iliwauma sana.
Wakenya acheni wivu jamani, Tanzania ni baba lao. Hata waliomtukana Magufuli sasa wanafurahia kupanda treni ya umeme.
kenya wametuzidi mbali katika uchumi........mm n mtanzania halisi na ukwel ndo uo.........labda Tanzania tuanze kujitafakari upya.Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno, raia wa Afrika Mashariki hasa watanzania tulikoma kwa matusi na kejeli. Wakenya walisikika wakisema Watanzania nchi yao imejaa rasilimali nyingi lakini hawana akili ya kujiletea maendeleo.
Basi Mungu mkubwa utawala wa Rais Kikwete ukaisha na mwaka 2015 akaingia mbeba maono na mfuta aibu za watanzania Rais Magufuli, ghafla Tanzania iliyokuwa na ndege moja ikageuka kuwa na ndege nyingi na ikajenga treni ya SGR ya umeme tofauti kabisa na ile ya kishamba ya wakenya inayotumia dizeli tu!.
Hiki kitendo cha watanzania kujenga reli ya umeme na kuwafunika wakenya iliwauma sana.
Wakenya acheni wivu jamani, Tanzania ni baba lao. Hata waliomtukana Magufuli sasa wanafurahia kupanda treni ya umeme.
Hapa tunazungumzia SGR, anzisha mada yako kuhusu uchumikenya wametuzidi mbali katika uchumi........mm n mtanzania halisi na ukwel ndo uo.........labda Tanzania tuanze kujitafakari upya.
Watanyooka tuNa bado, tukija kujenga tena underground trains hapo Dar, ndio watakufa kwa wivu.
We mshamba sanaKIama hujapanda SGR ya Kenya ni bora ukafunga mdomo, suala la ktumia dizel hata sisi mbona wameagiza. Kwa upande wa huduma ndani ya mabehewa Kenya wako viwango vya juu
ImekuwajeVipi huduma, mabehewa yetu je?
Hautashuhudia hili wewe na kizazi chako mkiwa hai.Na bado, tukija kujenga tena underground trains hapo Dar, ndio watakufa kwa wivu.
Hata reli ya umeme ulisema hivyo hivyo kuwa haitatokea TanzaniaHautashuhudia hili wewe na kizazi chako mkiwa hai.
Ati nini????Na bado, tukija kujenga tena underground trains hapo Dar, ndio watakufa kwa wivu.
Huelewi niniAti nini????
We’re talking about underground commuter trains in Dar soon.Ati nini????
Upembuzi yakinifu kuanza muda sio mrefu.Hautashuhudia hili wewe na kizazi chako mkiwa hai.
Ww mkenya acha kujificha fichakenya wametuzidi mbali katika uchumi........mm n mtanzania halisi na ukwel ndo uo.........labda Tanzania tuanze kujitafakari upya.
THREAD YA KITOTO HII. HAIFAI KWA GREAT THINKERS. INAFAA ZAIDI KWA SIMULIZI ZA WATOTO WA DARASA LA TATU.Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno, raia wa Afrika Mashariki hasa watanzania tulikoma kwa matusi na kejeli. Wakenya walisikika wakisema Watanzania nchi yao imejaa rasilimali nyingi lakini hawana akili ya kujiletea maendeleo.
Basi Mungu mkubwa utawala wa Rais Kikwete ukaisha na mwaka 2015 akaingia mbeba maono na mfuta aibu za watanzania Rais Magufuli, ghafla Tanzania iliyokuwa na ndege moja ikageuka kuwa na ndege nyingi na ikajenga treni ya SGR ya umeme tofauti kabisa na ile ya kishamba ya wakenya inayotumia dizeli tu!.
Hiki kitendo cha watanzania kujenga reli ya umeme na kuwafunika wakenya iliwauma sana.
Wakenya acheni wivu jamani, Tanzania ni baba lao. Hata waliomtukana Magufuli sasa wanafurahia kupanda treni ya umeme.
Soon ya kibongo bongo inaweza kua 2100We’re talking about underground commuter trains in Dar soon.