Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

kenya wametuzidi mbali katika uchumi........mm n mtanzania halisi na ukwel ndo uo.........labda Tanzania tuanze kujitafakari upya.
Nchi iliyokua na uchumi mkubwa inapewa msaada wa chakula??
Kenya hadi sasa wanapewa msaada wa chakula kutoka WFP.
 
Wamejaa sifa za kijinga tu
Halafu huyo jamaa anakwambia Wana uchumi mkubwa.
Deni lao la taifa ni kubwa kukaribia GDP yao ya taifa.
Raia wao wengi huvuka kuja kupata matibabu ya afya huku Tanzania kwa kufuata gharama nafuu na utoshelezi wa huduma.
Kwao hospitali nzuri nyingi za private sio kama Tanzania angalau serikali imejitahidi kuwekeza katika huduma ya afya.
 
SGR lengo lake ni kubeba mizigo ya nchi jirani na kukuza uchumi, inapaswa kufika haraka Mwanza na Kigoma, japo inasuasua sana sijui tatizo nini, kubeba abiria ni Bonus tu, ikifika mwisho wake TZ itakuwa level ingine na Ke watatuamkia
 
Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno, raia wa Afrika Mashariki hasa watanzania tulikoma kwa matusi na kejeli. Wakenya walisikika wakisema Watanzania nchi yao imejaa rasilimali nyingi lakini hawana akili ya kujiletea maendeleo.

Basi Mungu mkubwa utawala wa Rais Kikwete ukaisha na mwaka 2015 akaingia mbeba maono na mfuta aibu za watanzania Rais Magufuli, ghafla Tanzania iliyokuwa na ndege moja ikageuka kuwa na ndege nyingi na ikajenga treni ya SGR ya umeme tofauti kabisa na ile ya kishamba ya wakenya inayotumia dizeli tu!.

Hiki kitendo cha watanzania kujenga reli ya umeme na kuwafunika wakenya iliwauma sana.

Wakenya acheni wivu jamani, Tanzania ni baba lao. Hata waliomtukana Magufuli sasa wanafurahia kupanda treni ya umeme.
Majira huwa hatuchiki kupigana vijembe😂
 
Ndivyo walivyo hao majirani zetu,
Kwani yule sheikh mwaipopo hawajasema ni wao?
 
KIama hujapanda SGR ya Kenya ni bora ukafunga mdomo, suala la ktumia dizel hata sisi mbona wameagiza. Kwa upande wa huduma ndani ya mabehewa Kenya wako viwango vya juu
Unaonekana hata unachoongea hukitambui.
Locomotive walizoagiza TZ unafananisha na za Kenya!?
Sgr ya Kenya haina comfortability Bora hata MGR ya TRC.
Reli yao inatikisika kinyama kwasababu ni jointed railway.
Sio kama ya TZ ambayo ni continuous welded.
Pia ya TZ Ina efficiency kwenye speed na hilo ndilo lengo kuu.
 
Unaonekana hata unachoongea hukitambui.
Locomotive walizoagiza TZ unafananisha na za Kenya!?
Sgr ya Kenya haina comfortability Bora hata MGR ya TRC.
Reli yao inatikisika kinyama kwasababu ni jointed railway.
Sio kama ya TZ ambayo ni continuous welded.
Pia ya TZ Ina efficiency kwenye speed na hilo ndilo lengo kuu.
Umetoa elimu nzuri sana
 
Back
Top Bottom