KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
YA KWAKO YA GREAT THINKERS NI IPI?THREAD YA KITOTO HII. HAIFAI KWA GREAT THINKERS. INAFAA ZAIDI KWA SIMULIZI ZA WATOTO WA DARASA LA TATU.
Ni utoto kuleta threads za kushindanisha sijui vitu gani. Inawezekana wewe uko under 20, hivyo nabishana na mtoto mdogo. Hapa hatuentertain mada za hivyo.YA KWAKO YA GREAT THINKERS NI IPI?
ULIPOSOMA UKAONA KUWA HII NI YA KITOTO ULIPASWA ULETE YA KIUTU UZIMA!
😁😁😁😁😁Hautashuhudia hili wewe na kkizazi chako mkiwa hai
SAWA WEWE UPO OVER 21, MADA YAKO NI IPI EWE MTU MZIMA NA NUSU?ut
Ni utoto kuleta threads za kushindanisha sijui vitu gani. Inawezekana wewe uko under 20, hivyo nabishana na mtoto mdogo. Hapa hatuentertain mada za hivyo.
Dawa ikuingie taratibuTHREAD YA KITOTO HII. HAIFAI KWA GREAT THINKERS. INAFAA ZAIDI KWA SIMULIZI ZA WATOTO WA DARASA LA TATU.
Wakenya ni wala rushwa sanaSGR ya Kenya ni twice as short but twice as expensive. CHADEMA na Fr Kitima wameshauri tuige Katiba ya Kenya.
Nchi iliyokua na uchumi mkubwa inapewa msaada wa chakula??kenya wametuzidi mbali katika uchumi........mm n mtanzania halisi na ukwel ndo uo.........labda Tanzania tuanze kujitafakari upya.
Wamejaa sifa za kijinga tuNchi iliyokua na uchumi mkubwa inapewa msaada wa chakula??
Kenya hadi sasa wanapewa msaada wa chakula kutoka WFP.
Halafu huyo jamaa anakwambia Wana uchumi mkubwa.Wamejaa sifa za kijinga tu
Majira huwa hatuchiki kupigana vijembe😂Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno, raia wa Afrika Mashariki hasa watanzania tulikoma kwa matusi na kejeli. Wakenya walisikika wakisema Watanzania nchi yao imejaa rasilimali nyingi lakini hawana akili ya kujiletea maendeleo.
Basi Mungu mkubwa utawala wa Rais Kikwete ukaisha na mwaka 2015 akaingia mbeba maono na mfuta aibu za watanzania Rais Magufuli, ghafla Tanzania iliyokuwa na ndege moja ikageuka kuwa na ndege nyingi na ikajenga treni ya SGR ya umeme tofauti kabisa na ile ya kishamba ya wakenya inayotumia dizeli tu!.
Hiki kitendo cha watanzania kujenga reli ya umeme na kuwafunika wakenya iliwauma sana.
Wakenya acheni wivu jamani, Tanzania ni baba lao. Hata waliomtukana Magufuli sasa wanafurahia kupanda treni ya umeme.
Unaonekana hata unachoongea hukitambui.KIama hujapanda SGR ya Kenya ni bora ukafunga mdomo, suala la ktumia dizel hata sisi mbona wameagiza. Kwa upande wa huduma ndani ya mabehewa Kenya wako viwango vya juu
🤣🤣Ndivyo walivyo hao majirani zetu,
Kwani yule sheikh mwaipopo hawajasema ni wao?
Umetoa elimu nzuri sanaUnaonekana hata unachoongea hukitambui.
Locomotive walizoagiza TZ unafananisha na za Kenya!?
Sgr ya Kenya haina comfortability Bora hata MGR ya TRC.
Reli yao inatikisika kinyama kwasababu ni jointed railway.
Sio kama ya TZ ambayo ni continuous welded.
Pia ya TZ Ina efficiency kwenye speed na hilo ndilo lengo kuu.
We’re talking about underground commuter trains in Dar soon.
Mjinga flani hao ndo walioshia la saba wanavuruga content maana hawakusoma jinsi ya kutoleta mada juu ya madaHapa tunazungumzia SGR, anzisha mada yako kuhusu uchumi
DuhKwani tushamaliza kipindupindu Dar
Punguza uongo dada, hapo usikute hujawahi hata kupanda SGR.KIama hujapanda SGR ya Kenya ni bora ukafunga mdomo, suala la ktumia dizel hata sisi mbona wameagiza. Kwa upande wa huduma ndani ya mabehewa Kenya wako viwango vya juu