Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

SGR lengo lake ni kubeba mizigo ya nchi jirani na kukuza uchumi, inapaswa kufika haraka Mwanza na Kigoma, japo inasuasua sana sijui tatizo nini, kubeba abiria ni Bonus tu, ikifika mwisho wake TZ itakuwa level ingine na Ke watatuamkia
Fedha kaka ndio Tatizo ni ya kudunduliza!
 
kenya wametuzidi mbali katika uchumi........mm n mtanzania halisi na ukwel ndo uo.........labda Tanzania tuanze kujitafakari upya.
Nakataa! Kenya wanatuzidi uchumi wa kwenye makaratasi lakini kwenye standard of living tunewaacha mbali sana. Ikumbukwe maana halisi ya uchumi ni life standard ya watu na sio namba
 
Nakataa! Kenya wanatuzidi uchumi wa kwenye makaratasi lakini kwenye standard of living tunewaacha mbali sana. Ikumbukwe maana halisi ya uchumi ni life standard ya watu na sio namba
Uko sahihi sana
 
Umefika Kenya, Nairobi?
 
Na bado, tukija kujenga tena underground trains hapo Dar, ndio watakufa kwa wivu.
Underground hipi ?.mabomba ya maji yana wachanganya,mitaro muwezi,vyoo dar vingi ni vya shimo.Mnataka hiyo treni chini ikutane na mavi
 
Mi nikajua ile sgr ya Kenya imeharibika, au mchina kang'oa 🤣🤣🤣
 
KIama hujapanda SGR ya Kenya ni bora ukafunga mdomo, suala la ktumia dizel hata sisi mbona wameagiza. Kwa upande wa huduma ndani ya mabehewa Kenya wako viwango vya juu
TZ haijaagiza vichwa vya diesel. Ila walisema huko mbeleni labda watakuja kuagiza HYBRID kwaajili ya dharula (Yaani kichwa kinatumia diesel na umeme).

======

Kwa wale ambao hamjawahi kupanda SGR ya Kenya. Lina kelele, likitembea halina tofauti na Train letu la zamani la Kigoma


View: https://youtube.com/shorts/qFojyNcf_Pk?si=1sLKB8InLngmHONA
 
Underground hipi ?.mabomba ya maji yana wachanganya,mitaro muwezi,vyoo dar vingi ni vya shimo.Mnataka hiyo treni chini ikutane na mavi
Ahaaa, itapita chini sana mita kama 40-50 chini ya ardhi, usiogope hutakutana na mavi wala maji kwani watajenga tube isiyoingia maji.
 
Hii sio Diplomatic kabisa... Mod mada za kupumbavu zifuteni tafadhari
 
Tatizo letu ni huyu mpuuzi ...mabehewa yq gorofa yanaoza sijui wsliyaleta ili iweje hasi sasa hakuna kinacho julikana
 
Kenya watani zetu, tuwazoee tu. Hata SSC ilipoingia fainali CAF wakasema ni timu ya Kenya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…