Wakenya wamcharukia Trump baada ya kumfanyia ubaguzi Uhuru

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Twitter kumewaka moto baada ya Wakenya kumshambulia Trump matusi ya nguoni na mazito mazito hii inafuatia ubaguzi mkubwa aliofanyiwa rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya.
Kitendo kilichowatoa povu wakenya ni pale Trump na mkewe Melania walipoamua kutumia zuria jekundu(red Carpet) huku Uhuru na mkewe wakilazimishwa kukanyaga vumbi katika maeneo ya ikulu,wakati carpet hiyo ilikuwa rasmi kwa ajili ya mapokezi ya Uhuru.
Sasa nimeelewa kwanini Magufuli anapenda routes fupifupi
40225725_1049176488577641_589796393829269504_n.jpg
 
Twitter kumewaka moto baada ya Wakenya kumshambulia Trump matusi ya nguoni na mazito mazito hii inafuatia ubaguzi mkubwa aliofanyiwa rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya.
Kitendo kilichowatoa povu wakenya ni pale Trump na mkewe Melania walipoamua kutumia zuria jekundu(red Carpet) huku Uhuru na mkewe wakilazimishwa kukanyaga vumbi katika maeneo ya ikulu,wakati carpet hiyo ilikuwa rasmi kwa ajili ya mapokezi ya Uhuru.
Sasa nimeelewa kwanini Magufuli anapenda routes fupifupi
View attachment 849668
wivu wakiketuache hatufiki popote tupambane na hali zetu ña demokrasia yetu kongwe
 
Hilo swali waulize wakenya Twitter
Hio red carpet wewe ukiangalia inaweza simama watu wangapi?[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom