MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Twitter kumewaka moto baada ya Wakenya kumshambulia Trump matusi ya nguoni na mazito mazito hii inafuatia ubaguzi mkubwa aliofanyiwa rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya.
Kitendo kilichowatoa povu wakenya ni pale Trump na mkewe Melania walipoamua kutumia zuria jekundu(red Carpet) huku Uhuru na mkewe wakilazimishwa kukanyaga vumbi katika maeneo ya ikulu,wakati carpet hiyo ilikuwa rasmi kwa ajili ya mapokezi ya Uhuru.
Sasa nimeelewa kwanini Magufuli anapenda routes fupifupi