Wakenya wamcharukia Trump baada ya kumfanyia ubaguzi Uhuru

Wakenya wamcharukia Trump baada ya kumfanyia ubaguzi Uhuru

Kwanini mgeni asingepishwa kwenye Red carpet wao wenyeji wakanyage chini?

Sent using Jamii Forums mobile app
yap hapo ukona point...actually wageni wangefaa ndiwe ndio wapo katikati...ila Trump si unamjua tu...hawa wamarekani ni wabaguzi tu wote...infact wazungu wote hao wabaguzi...baada ya Kenyatta kuzungumza wanahabari walianza kubweka na kuuliza maswali kuhusu Mccain ...that was very rude to Uhuru actually...
 
actually wako right...picha ingefaa iwe hivi...yaani wageni katikati.... ila Trump wamjua tu...ni racist ...anyway, presidents come and go but countries remain...we are still proud of our motherland Africa
uhuru.jpg
IMG_0975-1000x666.jpg

Macky_Sall_with_Obamas_2014.jpg
 
sisi tupo mahodari mno wa kuzungumza kwenye key boards,hatuoni in a bigger picture ,elewa Kenya inapaa kuwa moja ya power House ndani ya bara letu,(miaka ya 70s hadi 90s)nchi yetu ilikuwa ni moja ya gaterway ya kuingialia Afrika kwa sasa mmmm,vile vile kuna nafasi ya kufanya biashara kubwa na UK hasa itakapokuwa imejiondoa kutoka EU,wenzetu SA,Kenya,Nigeria wameshaanza kuchangamkia nafasi hiyo sisi bado tunakimbizana mitaani na kupoteza muda,UK inatafuta nchi za kufanya nazo biashara maana baishara yake na nchi za EU itaathirika ,please my no 1 its enough now with this shit politics,tuanze kujitangaza na kuwa serious na uchumi wetu.
 
actually wako right...picha ingefaa iwe hivi...yaani wageni katikati.... ila Trump wamjua tu...ni racist ...anyway, presidents come and go but countries remain...we are still proud of our motherland Africa
uhuru.jpg
IMG_0975-1000x666.jpg

Macky_Sall_with_Obamas_2014.jpg

Ahaaa haaa haaa
Duuuu jamani kusimama hakuna MAANA yoyote bali ukarimu. Familia ya DT umeonesha ukarimu unaofaa kwa wageni. Zingine ni mbwembwe tu.
 
Hahahah Ila Trump jeuri dadeq yani katembelewa halafu kawaletea dharau!.. Hlo zuria alitakiwa akae Trump na Uhuru hao wake zao wakae pembeni yao!..
Sasa yeye na mke wake wameshea zuria halafu wageni wao wamewasweka pembeni tena kila mmoja upande wake!, at least uhuru angekaa na Mellania halafu Trump na Mke wa Uhuru!.. Malcom Lumumba umeona hiki kitu huku![emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kitu alishawahi kufanyiwa Kikwete na Obama. Protokali kuvunjwa na wamarekani ni kawaida sana, huyu Trump alishamfanyia fujo Malkia wa Uingereza sembuse Uhuru ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kikawaida maraisi ndo husimama kwenye redi kapeti halafu wanawake wao wanasimama upande wa waume zao!!..
mambo mengine ni madogo sana lakini yana umuhimu mkubwa!
 
Write your reply...Ubaguzi dhidi ya watu weusi haouto kaa uishe tena hasa kwa trump alie weka wazi.
#Waafrica ni wakarimu sana ila hatuto acha kubaguliwa daima.
 
Wakenya wange angalia VIZURI, coz Mimi naliona Kama zulia lenyewe lilikua jembamba lisinge watosheleza wote kupiga picha pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom