MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
sasa Uhuru si angekaa nyuma na mkewe kama parade vile
Sasa huoni hapo wamepose kwa picha, wangeonekanaje, si ndo ungekua ubaguzi wenyewesasa Uhuru si angekaa nyuma na mkewe kama parade vile
sio mawazo yangu wakuu,hilo ni povu la wakenya twitterSasa huoni hapo wamepose kwa picha, wangeonekanaje, si ndo ungekua ubaguzi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangeweka kapeti pana la kutosha watu wanne.
Leta ushahidisio mawazo yangu wakuu,hilo ni povu la wakenya twitter
Yaani kapeti liwe pana zaidi ya upana wa njia?Wangeweka kapeti pana la kutosha watu wanne.
Mbona hiyo njia pana, huoni?
wivu wakiketuache hatufiki popote tupambane na hali zetu ña demokrasia yetu kongweTwitter kumewaka moto baada ya Wakenya kumshambulia Trump matusi ya nguoni na mazito mazito hii inafuatia ubaguzi mkubwa aliofanyiwa rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya.
Kitendo kilichowatoa povu wakenya ni pale Trump na mkewe Melania walipoamua kutumia zuria jekundu(red Carpet) huku Uhuru na mkewe wakilazimishwa kukanyaga vumbi katika maeneo ya ikulu,wakati carpet hiyo ilikuwa rasmi kwa ajili ya mapokezi ya Uhuru.
Sasa nimeelewa kwanini Magufuli anapenda routes fupifupi
View attachment 849668
Hilo kapeti linapaswa kuwa pana baada ya mlango. Hiyo ndiyo itifaki muafaka.