Wakenya wamcharukia Trump baada ya kumfanyia ubaguzi Uhuru

Ushamba wa mtu fulani kutosafiri umesababisha tusiwe na wawekezaji pia tusipate msaada.Nikuulize MSAGA SUMU ukiwa na shida unasubiri nyumbani kwako mtu aje akupe msaada au unamfuata nyumbani kwake kumuomba msaada???ipi ni busara???mtu yeyote anataka commitment ya rais siyo makamu wala mtu mwingine.

Mshana Jr
Mwanahabari Huru
Msema UKwelii
@rutashobollowa
 
mpaka umri huo unawaza misaada.
 
Mbona mke wa uhuru amegusa?
 
Hilo swali waulize wakenya Twitter
Hio red carpet wewe ukiangalia inaweza simama watu wangapi?
[/QUOTE]
Embed the #hashtag here....the hashtag so that I go tell those Kenyans how vichwa maji they are.
 
sio mawazo yangu wakuu,hilo ni povu la wakenya twitter
Sasa tofauti yako na hao waliotoa povu hilo ni ipi??umeshindwa kuchanganya na zako??vitu vingine jamani,yaani akili za kirumumba kumuachia mtu ni tabu kweli!!!
 
Hah hah ! Hiyo inaitwa siasa za nusu kapeti, sasa wa-Kenya wanakasirika nini wakati Kenya ndiyo waanzilishi wa "ubaguzi' kwa kutumia 'nusu mkeka/nusu-kapeti'

Tazama aliyekuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Kenya Mh. Raila Omolo Odinga ktk video clip hii chini akilalamika kukosewa 'heshima' kwa kuwekewa nusu mkeka / kapeti

 
kuna mambo madogomadogo yasiyo na tija yanatuootezea sana muda.

Kilichompeleka mngeweka makubaliano yao it could be 100% worth..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa majungu! Trump hachelewi ku-cancel Betchel Mombasa-Nairobi highway
wamarekani wanataka iwe direct loan, sisi tunataka iwe pure PPP... ndio maana final funding contract haikutiwa sign.. instead joint statement inasema wame agree on futher talks on the expressway. ...

So if they cancel the betchel contract as is currently constituted haina shida... but if they really want to counter Chinies influence they going to have to fund it on their cost and bare 80% of the risks ...
 
Waafrika wana fikra za kibaguzi mdio maana wanahisi kubaguliwa kila wakati
 
Hebu leta hizo tweets za wakenya, otherwise ni wivu tu.. Acheni UK aiwakilishe Jamhuri ulimwenguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…