Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
yap hapo ukona point...actually wageni wangefaa ndiwe ndio wapo katikati...ila Trump si unamjua tu...hawa wamarekani ni wabaguzi tu wote...infact wazungu wote hao wabaguzi...baada ya Kenyatta kuzungumza wanahabari walianza kubweka na kuuliza maswali kuhusu Mccain ...that was very rude to Uhuru actually...Kwanini mgeni asingepishwa kwenye Red carpet wao wenyeji wakanyage chini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kuniambia Xijinping akija Kenya na mke wake nae atakanyaga chini?Protocal siku zote ni host president anakaa katikati.... Afadhali ungeuliza kwanini Uhuru na Trump wasinge kaa kati kati Alafu Melania na Magret wakae kando yao....
Ulilileta hapa la nini. Hii sio Twitter mkuu. Sio lazma uandike mda mwingine soma tu.sio mawazo yangu wakuu,hilo ni povu la wakenya twitter
Wapi lugha tuKwahyo watanzania mnasema rais wenu hasafiri kwasababu hataki kukanyaga vumbi sio? [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
actually wako right...picha ingefaa iwe hivi...yaani wageni katikati.... ila Trump wamjua tu...ni racist ...anyway, presidents come and go but countries remain...we are still proud of our motherland Africa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah Ila Trump jeuri dadeq yani katembelewa halafu kawaletea dharau!.. Hlo zuria alitakiwa akae Trump na Uhuru hao wake zao wakae pembeni yao!..
Sasa yeye na mke wake wameshea zuria halafu wageni wao wamewasweka pembeni tena kila mmoja upande wake!, at least uhuru angekaa na Mellania halafu Trump na Mke wa Uhuru!.. Malcom Lumumba umeona hiki kitu huku![emoji23]
hamna mkuu huo sio utaratibu,Trump kakosea sana
Yeah! Kwa sababu hatakaa amuone Ikulu ya Marekani ng'o labda aje yeye kumfuata bongo.Hivi umemsahau trump ndiyo zake na subiri atakavyomnanga akiondoka! Hivi hukumbuki alivyomtreat angel mikel na hata queen alipomtembelea? Donald Trump's 'cringeworthy' walk with Queen Elizabeth draws anger of Brits kiboko yake anaweza kuwa JPM tu