Wakenya wamcharukia Trump baada ya kumfanyia ubaguzi Uhuru

Wakenya wamcharukia Trump baada ya kumfanyia ubaguzi Uhuru

Twitter kumewaka moto baada ya Wakenya kumshambulia Trump matusi ya nguoni na mazito mazito hii inafuatia ubaguzi mkubwa aliofanyiwa rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya.
Kitendo kilichowatoa povu wakenya ni pale Trump na mkewe Melania walipoamua kutumia zuria jekundu(red Carpet) huku Uhuru na mkewe wakilazimishwa kukanyaga vumbi katika maeneo ya ikulu,wakati carpet hiyo ilikuwa rasmi kwa ajili ya mapokezi ya Uhuru.
Sasa nimeelewa kwanini Magufuli anapenda routes fupifupi
View attachment 849668
Nimejaribu kuangalia kwa makini,sijaona ni kwa namna gani Rais Kenyatta na mkewe walibaguliwa. Angalia ukubwa wa hilo zulia jekundu utagundua isingewezekana kabisa kwa watu wote wanne kulikanyaga na still picha ya pamoja itosheleze. So sioni chochote kipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom