Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wakati niko University of Dar es Salaam School of Business tuliwasaidia sana kuwafundisha Wanafunzi Wao wa PhD katika Business School yao.Mpaka leo hii tunaongelea kukosekana kwa muunganiko wa utendaji kazi baina ya wizara moja na nyingine na ni jambo ambalo Rais analisema mbele ya mawaziri wake!, kujilinganisha na wakenya wa sasa bado ni kufanya makosa.
Msingi wao ni wa ubepari tangu taifa lao lilipoanzishwa, wamefundishwa kutoka jasho ili mtu afike juu kimaisha. Na masuala ya ukabila ni sehemu ndogo tu ya udhaifu wao kitaifa.
Tunayo bahati kwamba kwa sasa tunao watu wengi wenye elimu kubwa na uelewa mpana wa dunia ya leo, hivyo matumaini yapo ya kuja kufika walipofika majirani hawa.
Kwanza mabasi si uwekezaji ni nyezo tu ya usafiri sisi tunataka kwenye fixed asset kama viawanda na hotelsww umetoa mfano wa mabasi ambao ni small portion sana. ni ndogo sana.
what about nyanja zingine? biashara zingine?
Hatuwezi kufika huko tukiwa na viongozi aina ya Ndugai, Mwigulu, Kabundi, Gwajima, n.kMpaka leo hii tunaongelea kukosekana kwa muunganiko wa utendaji kazi baina ya wizara moja na nyingine na ni jambo ambalo Rais analisema mbele ya mawaziri wake!, kujilinganisha na wakenya wa sasa bado ni kufanya makosa.
Msingi wao ni wa ubepari tangu taifa lao lilipoanzishwa, wamefundishwa kutoka jasho ili mtu afike juu kimaisha. Na masuala ya ukabila ni sehemu ndogo tu ya udhaifu wao kitaifa.
Tunayo bahati kwamba kwa sasa tunao watu wengi wenye elimu kubwa na uelewa mpana wa dunia ya leo, hivyo matumaini yapo ya kuja kufika walipofika majirani hawa.
Kujiamini ni silaha yao muhimu sana mkuu Josh J. Wapo positive minded siku zote, hawakatishani tamaa kama sisi.Wakati niko University of Dar es Salaam School of Business tuliwasaidia sana kuwafundisha Wanafunzi Wao wa PhD katika Business School yao.
Sisi tulikuwa na staff wenye PHD wengi kuliko wao. Mtanzania Mwenzetu Prof. Kaijage alikuwa Chair wa Barclay's Bank Kenya. Katika Eastern Africa We were the Top Business School. Hata Baadhi ya Business Schools in South Africa tulikuwa tunawashinda.
Wakati Mwingine sisi Wenyewe wa TZ. huwa hatujiamini.[emoji3525][emoji3525][emoji848][emoji848][emoji848]
Huwezi kwenda kuwekeza Kenya wakati TZ Fursa kibao. Ni mwendawazimu ataacha fursa za TZ kwenda kuwekeza Kenya ambako hata Ardhi hawana.Wakuu
Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260.
Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu. Je, tumekwama wapi kama Nchi?
Nini kifanyike? Waalimu, Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya. Wapi wizara zetu na wale watoa maamuzi wanaweka mkakati wa pamoja juu ya hili?
Du, nakuonea huruma. Kama unachenj kawekeze Iringa - Vitunguu maji, swaumu, tangawizi zitakulipa zaidi kuliko kwenda huko Kenya.nataka nikawekeze kenya katika kilimo cha vitunguu naomba muongozo.
Dada Zawadi NgodaDu, nakuonea huruma. Kama unachenj kawekeze Iringa - Vitunguu maji, swaumu, tangawizi zitakulipa zaidi kuliko kwenda huko Kenya.
Msifanye ushindani wa kuiga angalieni fursa. Kenya hawajatupiga bao bali sisi ndio tumekuwa wazuri katika sera yetu ya kuita wawekezaji.
Na huo ndio muelekeo wa taifa, tunataka makampuni 1000+ ya Kenya yaje kuwekeza TZ kwa kipindi cha miaka 10.
Siasa za ujamaa na kujitegemea ndio zimetufikisha hapa. Ujamaa na ubepari ni two antagonistic theories. Mpaka tuje tushtuke basi jua litakuwa lishazama. Kikubwa tujadili namna ya kubadili mitaala ya elimu ikae kuendana na mwenendo wa sasa wa dunia (ubepari wa kisayansi).Wakuu
Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260.
Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu. Je, tumekwama wapi kama Nchi?
Nini kifanyike? Waalimu, Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya. Wapi wizara zetu na wale watoa maamuzi wanaweka mkakati wa pamoja juu ya hili?
Ina maana haujui uhusiano uliopo baina ya vita na uchumi wa nchi?Haya mambo ya kuweka rehani uchumi wetu, hiyo naona ni issue nyingine.