GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
CCM na wasomi wake feki wametutia aibu sana"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"
Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"
Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
CCM na wasomi wake feki wametutia aibu sana
Na hawaoni aibu kupita mitaani kudanganya ummaWachumia tumbo wameliaibisha Taifa kwa sehemu kubwa
Kwani ni lini tumewahi kuwa na Akili?Kweli hii habari imesambaa kwenye mijadala yao kiukweli wanatuona hatuna akili kisa wajinga wachache
Dr. Msukuma!Kenya na Rwanda Elimu zao zimezalisha wasomi mahiri Kupitia medani zote ambazo kwayo "Utaifa na Uzalendo"Ndio kipaumbele Pekee tofauti na Nchi zingine za 'Kusadikika"
Naazima maneno ya Jenerali:"Bado Tupo Kwenye Mkwamo wa Masafa Marefu "
Kwani yule BI MKUBWA anasemaje."DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"
Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
...Kama Huyu, Unategemea Nini ? [emoji57][emoji57]Nyumbu kazini......
Go mama Samia, goooooo!!
Tegemea watanzania kuendelea kuwa pamoja na mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, kuhusu bandari siku zote bila kujali uongo na uzushi wenu!...Kama Huyu, Unategemea Nini ? [emoji57][emoji57]
🤣🤣🤣Wabongo tunachojijua ni kucheza singeli na amapiano tuu ,kukatika
Mauno
Ova
Mtaje tu mkuu"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"
Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
MIxer umbea wa mange kimambi,diamond na ali kiba😅😅😅Wabongo tunachojijua ni kucheza singeli na amapiano tuu ,kukatika
Mauno
Ova