Wakenya wamjibu yule Mtu aliyetutisha Watanzania kuwa tusipowakubali DP World watahamia Kenya na tutajuta

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"

Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
 
PALE UNAPOJILAZIMISHA KUUELEWA MKATABA WA BANDARI
FB_IMG_16907896853188507.jpg
 
Kenya na Rwanda Elimu zao zimezalisha wasomi mahiri Kupitia medani zote ambazo kwayo "Utaifa na Uzalendo"Ndio kipaumbele Pekee tofauti na Nchi zingine za 'Kusadikika"

Naazima maneno ya Jenerali:"Bado Tupo Kwenye Mkwamo wa Masafa Marefu "
 
"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"

Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
CCM na wasomi wake feki wametutia aibu sana
 
"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"

Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?

Kweli hii habari imesambaa kwenye mijadala yao kiukweli wanatuona hatuna akili kisa wajinga wachache
 
Kwani mama samia kinachomfanya atumie nguvu kubwa kuuza mali za nchi kwamba anakufa kesho au nn shida. Kenya wako njema sana sio kama huku bongo kuanzia raisi hadi wasaidizi wake hawajui walitendalo alafu kutwa kutupa vijembe ni dalili ya kushindwa uongozi
 
Kenya na Rwanda Elimu zao zimezalisha wasomi mahiri Kupitia medani zote ambazo kwayo "Utaifa na Uzalendo"Ndio kipaumbele Pekee tofauti na Nchi zingine za 'Kusadikika"

Naazima maneno ya Jenerali:"Bado Tupo Kwenye Mkwamo wa Masafa Marefu "
Dr. Msukuma!
 
"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"

Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
Kwani yule BI MKUBWA anasemaje.
 
...Kama Huyu, Unategemea Nini ? [emoji57][emoji57]
Tegemea watanzania kuendelea kuwa pamoja na mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, kuhusu bandari siku zote bila kujali uongo na uzushi wenu!
 
"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"

Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
Mtaje tu mkuu
 
Back
Top Bottom