Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Soma hapa tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao watakuja hapa wakwambie, Mwacheni Kwin Camilla aifungulie nchi.Hahahaaa
Kumbe kipeperushi cha gazeti la uhuru
Huyo mamako safari zake nyingi hazijawa na tija kwa nchi kuanzia ile Roho Tour tuliyodanganywa tutatajiwa wafadhili hadi leo kimya!
Safari ya majuzi Nigeria kwenda kushuhudia uapisho wa rais mpya imemsaidia nn mkulima wa alizet kule Singida au wa pamba kule Mwanza?!
Jakaya vasco da Gama mwingine. Mara nyingi hawa ni washamba na malimbukeni tu
WATANZANIA WAO WANASEMAJE?
Imemsaidia huyo mkulima kupata soko la pamba huko NigeriaHahahaaa