98% ya watanzania hawajui kabila la rais Mwinyi wala rais Mkapa. Hivi kwa watu wenye akili, waliostaarabika na kuelimika, kabila hasa lina maana gani zaidi ya kutaniana?