Wakenya wanajitangaza wao ndio wenye Lugha ya kiswahili ila kuongea kwa ni shida ila ndio wanatambulika kuwa ndio lugha inatoka kwao

Wakenya wanajitangaza wao ndio wenye Lugha ya kiswahili ila kuongea kwa ni shida ila ndio wanatambulika kuwa ndio lugha inatoka kwao

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya.

ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala sana.kesho kutwa Falme za kiarabu zitakuwa na mbuga kubwa ikitambulika asili yake ikitoka tanzania.
watu watajua simba,kiboko na wanyama wengine wanatoka falme za kiarabu
 
Unatarajia nini kama waziri wa utalii anadeal na ishu za misitu badala ya kudeal na utalii? Solution ni kuunda Wizara ya Utalii na utamaduni ili kwenye utamaduni tuweze kutangaza kiswahili na other aspexts of cultural tourism ukiacha na utalii wa game drive, mountain trekking, diving, kayak trekking, na mengineyo including air baloon game sighting.

Halafu tuunde wizara ya misitu na mazingira ili waziri wa misitu na mazingira adeal na ishu za biodiversity, misitu, uchumi wa misitu (forestry products including forestry tourism) pamoja na masuala ya carbon wastes reduction na mambo kama hayo ambayo nayo ni mengi sana.

Hii maana yake waziri wa utalii ataweza kudeal na utalii pekee kwa kiwa utalii ni dude pana sana ukiamua kudeal na deatails zote kama sehemu ya kupanua uchumi kwa kukusanya mapato hapo ndipo tutaweza kuona faida ya uwekezaji mkubwa kwenye utalii sababu atabaki na wizara ndogo inayohitaji kugenerate mapato makubwa so msisitizo utakuwa kwenye kutangaza hadi kiswahili pamoja na tamaduni zote sio kutegemea wamasai pekee as if ndio utamaduni pekee Tanzania.

Thats my professional advice i can give ili kukabiliana na hili tatizo na sio kuwalalamikia wakenya wakati its true kiswahili hata kwao ni asili yake kwa upande wa pwani Mombasa na Lamu.
 
“Kenyata aliwahi kumwambia Nyerere yeye anaongoza maiti lakini yeye anaongoza binadamu waliolala. Na Nyerere hakukataa ukweli huo” —.
 
Back
Top Bottom