Unatarajia nini kama waziri wa utalii anadeal na ishu za misitu badala ya kudeal na utalii? Solution ni kuunda Wizara ya Utalii na utamaduni ili kwenye utamaduni tuweze kutangaza kiswahili na other aspexts of cultural tourism ukiacha na utalii wa game drive, mountain trekking, diving, kayak trekking, na mengineyo including air baloon game sighting.
Halafu tuunde wizara ya misitu na mazingira ili waziri wa misitu na mazingira adeal na ishu za biodiversity, misitu, uchumi wa misitu (forestry products including forestry tourism) pamoja na masuala ya carbon wastes reduction na mambo kama hayo ambayo nayo ni mengi sana.
Hii maana yake waziri wa utalii ataweza kudeal na utalii pekee kwa kiwa utalii ni dude pana sana ukiamua kudeal na deatails zote kama sehemu ya kupanua uchumi kwa kukusanya mapato hapo ndipo tutaweza kuona faida ya uwekezaji mkubwa kwenye utalii sababu atabaki na wizara ndogo inayohitaji kugenerate mapato makubwa so msisitizo utakuwa kwenye kutangaza hadi kiswahili pamoja na tamaduni zote sio kutegemea wamasai pekee as if ndio utamaduni pekee Tanzania.
Thats my professional advice i can give ili kukabiliana na hili tatizo na sio kuwalalamikia wakenya wakati its true kiswahili hata kwao ni asili yake kwa upande wa pwani Mombasa na Lamu.