Wakenya wanajitapa na kiingereza wakati movie za kizungu kwao hawazielewi zinatafsiriwa na Dj Afroo πŸ˜‚

Huyo DJ AFRO ndo Rufufu wa kenya? hao jamaa huwaga wanapiga kamba vibaya mno..
 
Huyo DJ AFRO ndo Rufufu wa kenya? hao jamaa huwaga wanapiga kamba vibaya mno..
Ndio tunashangaa sasa wakenya na Kiingereza chote kwa nini movie zao zinatafsiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…