Wakenya wanaofanya kazi Tanzania ndio wanaotuma pesa nyingi Kenya (remittances) kwa Afrika nzima

Wakenya wanaofanya kazi Tanzania ndio wanaotuma pesa nyingi Kenya (remittances) kwa Afrika nzima

No rich country which depends on remittances, they depend on "investments", working in UAE as house girls or watchman for the sake of getting money to feed your family back home, is that investment?
Kenya doesn't depend on remittances, Kenya recieves remittances. Stop being stupid - no Kenyan works in Tanzania as a house girl or watchman but Tanzanians work here as so - that's the reason we get more remittances from Tanzania than vice versa.
 
Remittance siyo profit repatriation to country of origin. Hiyo ni pesa inayotumwa na vibarua/wafanyakazi walio nje ya nchi yao. Umeelewa wewe bricks and mortar engineer!!?
TZ kuna hadi magardener,mama ntilie,pale muhimbili nishamkuta mkenya anaosha magari,hivi ndivyo inavyotakiwa kuishi na majirani,tena basi hawana permit yoyote na hawabughudhiwi
 
Remittance siyo profit repatriation to country of origin. Hiyo ni pesa inayotumwa na vibarua/wafanyakazi walio nje ya nchi yao. Umeelewa wewe bricks and mortar engineer!!?
Kwa hivyo kwa akili yako mgando, profit zinatengenezwa na makampuni pekee? Individuals hawawezi kutengeneza profit sivyo? What a low iq comment from you?
 
Wakenya wana akili sana nenda maeneo yote yenye financial potentials wapo. Mafinga(Mbao) wapo, Njombe na Rungwe(Avocado) wapo, na wameanza kujenga na viwanda vya ku-process Avocado wabongo tuko JF na Twitter tunasifia makalio makubwa kuretweet na kulana kimasihara. Acha wavune.

We nae ni mbongo si ukafanye kwa nn uongee kejeri wakat ww na e ni mtanzania na unafulsa zote walizonazo watanzania changamkia af uje kua mfano kwa jamii ya watanzania walio wazembe
 
Kwa hivyo kwa akili yako mgando, profit zinatengenezwa na makampuni pekee? Individuals hawawezi kutengeneza profit sivyo? What a low iq comment from you?
eliakeem
Tuchukuwe mfano wewe umeenda Marekani kusomea udaktari na ukawa neurosurgeon na ukaamua kuishi huko Marekani. Kama ujuavyo neurosurgeons wanalipwa pesa kwa magunia. Sasa tuseme unatengeneza $10 million kwa mwaka na matumizi yako ni chini ya $1 million kwa mwaka. Sasa hio $9 million iliyobaki kwa bank account yako utaiita nini kama sio profit? Accountant wako wakati anakutengenezea your profit and loss account atasema hio $9 million ni nini kama sio profit?

Income tax huwa inalipwa na individuals pia sio makampuni tu na mimi najua kwa sababu hio ni kazi ambayo nimefanya. Kama unafikiri kwamba makampuni pekee ndio hutengeneza profit basi wewe hujawahi kanyanga darasa la uhasibu na pia huna habari jinsi kodi za mtu mmoja mmoja huwa calculated, hususan watu waliojiajiri.
 
Kuna mtu hapa reasoning yake kuhusu remittance iko chini sana. Anadhani watu wanaotuma remittance ni house girls pekee. Hakuna engineers au madaktari wanaotuma remittance. Low iq inawasumbua. Halafu Wakenya wengi ambao wanaishi nje ya nchi hawatumi pesa ya chakula pekee bali hata pesa ya investments na wananunua shamba na kujenga majumba pia. Remittance sio tu ya daily consumption. Na school fees ya watoto utaiita daily consumption au ni investment? Of course ni investment. Investment is a broad term. Lakini akili mgando anadhani investment ina maana moja tu. Kwake kujenga factories ndio investment pekee anayojua. Anyway, hii debate mimi niliiwacha coz the level of IQ of the people on the other side is too low.
Nimetaja housegirls ili kuwaonyesha hao wenzako kwamba "remittances" haitokani na investments, hiyo inatokana zaidi na malipo ya "labour charges" au mishahara wanayolipwa huko nje ya nchi, hao madaktari uliotaja na housegirls wote hulipwa mishahara Yao huko na ndio wanatumia Kenya kusaidia familia zao.
Jambo Moja linanishangaza Sana kwako, hivi serikali inapowalipa wafanyakazi wake mishahara kila mwezi, kwanini serikali haisemi kwamba hiyo pesa ni sehemu " Capital investment" badala yake wanasema ni "current expenditure", hizo degree zenu kweli zitasaidia nchi zenu, mbona mpo wepesi kiasi hiki?
 
Sikuwa nataka kukuquote ila wakati mwingine inabidi. Mzee kama ungeingia darasa la uhasibu ungefahamu kwamba katika kurekodi mapato na matumizi, mapato yako ni matumizi ya mwajiri wako. Sasa GoK inapolipa wafanyikazi wake mishahara hio ni matumizi kwa GoK ila ni mapato kwa wafanyikazi. Kwa hivyo wafanyikazi watairekodi kama mapato na GoK itairekodi kama matumizi.

Tukija kwenye remittance, waajiri wa nchi za ulaya walioajiri Wakenya na kuwalipa mishahara watarekodi mishahara hizo kama expenses au matumizi ya kampuni zao. Wakenya wanaopokea mishara hizo watazirekodi kama mapato waliyopokea. Sasa Wakenya hao wanapotuma pesa hizo nyumbani Kenya, nchi hio ya Ulaya itarekodi pesa hio inayotumwa kama capital outflow na Kenya ambayo inapokea pesa hio itarekodi pesa hio kama capital inflow. Central Bank of Kenya ndio ina jukumu la kurekodi hizi pesa zinazoingia katika uchumi wa Kenya kutoka ulaya na huwa wanatoa ripoti kila mwezi.

Halafu nimesema remittance ni capital inflow, wewe utakuja kupinga na kusema kwamba remittance sio investment. Hii ina maana kwamba hujui tofauti kati ya capital na investment. Jifunze tofauti kati ya capital na investment ndio uje udebate na mimi. Capital is a broad term kushinda investment na inajumlisha investment na mambo mengi zaidi ya investment. Remittance ni capital kwa maana fedha ni capital. Pesa ni capital. Sasa wewe ukisema remittance sio capital inflow ina maana kwamba hujui kwamba pesa ni capital na pia hujui kwamba pesa inapoingia ndani ya nchi hio inaitwa capital inflow?

Mwisho kabisa, remittance inaleta foreign exchange earnings ya $3 billion kwa Kenya kila mwaka. Sasa wewe sio mjinga, wewe unajua umuhimu wa kuwa na foreign exchange reserve ya kutosha katika uchumi husika. Bila foreign exchange reserve ya kutosha nchi inakufa. Nchi ikikosa foreign exchange reserve itakosa dollars ya kununua madawa kutoka India kwa ajili ya mahospitali. Itakosa dollars ya kununua mafuta ya diesel na petrol kutoka nchi za Kiarabu. Itakosa dollars ya kununua fertilizer kutoka Russia. Najua bado utagandia point yako kwamba remittance haina umuhimu wowote katika uchumi wa Kenya. Hapa ni kama nimepoteza muda tu kuongea na jiwe ambalo halina masikio. Lengo langu ni kuelimisha watu wengine wataosoma hii message, sio wewe.

Geza Ulole
 
Kwanza sijasema kwamba remittances hazina umuhimu, hizo ni pesa Kama pesa zingine lazima ni muhimu, ninachopinga ni kwamba remittances haziwezi kuwa ni "Capital inflow" katika nchi kwasababu zaidi ya 90% ya remittances Hutumika katika matumizi ya kawaida "recurrent expenditure, kununua chakula, school fees, medical bills, gharama za mazishi, nauli za usafiri na kununua vifurushi, Je haya matumizi unataka kusema ni investment?

Pesa inayotumika kuwekeza ili izalishe ni (Financial capital), ukishatumia hiyo pesa kufanya Kitendo chenye lengo la kufanya uzalishaji, hiyo ndio (Investment).

Pesa ambayo lengo lake(primary aim is not production), hiyo sio investment in Business. Ukiwalipia ada ya shule watoto wako, hiyo sio "Investment in business term" that can be regarded as social investment.

Kamwe Benk kuu haiwezi kuhesabu "remittances " capital inflow" ndio sababu "FDI" ya Kenya mwaka Jana haizidi $3B, Kenya imepokea "remittances" kubwa kuliko FDI. Kama WB wangekua wanahesabu "remittances" Kama "Capital inflow" ya nchi husika, Nigeria ingeongoza Africa kwa kupokea "FDI" kubwa miaka yote, lakini FDI ya Nigeria haizidi $10B wakati "remittances" za Nigeria ni zaidi ya $30B.
 
Kwa hivyo kwa akili yako mgando, profit zinatengenezwa na makampuni pekee? Individuals hawawezi kutengeneza profit sivyo? What a low iq comment from you?

Niliwahi kukuambia

Finance is not accountancy. Hizo ni accounting theory which does not hold water in finance.
 
You still have to invest to grow wealthy. Many rich countries have all those yet they still invest in foreign countries.
Mimi nauliza TU;
Hivi Kuna Wamarekani ambao hutuma pesa kwao kutoka either China,Mexico or Kenya?
 
Mimi nauliza TU;
Hivi Kuna Wamarekani ambao hutuma pesa kwao kutoka either China,Mexico or Kenya?
Ndio wapo na wanatuma pesa nyumbani. Hivi unadhani hakuna Wamarekani wanaofanya kazi UAE, China, Mexico au Kenya? Wacha kuwa na akili mgando namna hii. Sema kiwango ni kidogo lakini sio kwamba haifanyiki kabisa. Wamarekani wanafanya kazi karibu katika kila nchi dunia hii. Hata hapa Kenya wapo na pia wanatuma pesa nyumbani.
 
Kuna mtu humu alikuwa anasema kwamba remittances ni utopolo mtupu. Anadharau dollars ambayo immigrants wanatuma nyumbani kwamba haina umuhimu wowote katika uchumi wa Kenya. Anasema kwamba yaya wanaofanya kazi Dubai, pesa wanayotuma haina umuhimu wowote. Sasa Tazama Sri Lanka imeshindwa kulipa madeni yake. Imeshindwa kununua madawa na mafuta ya petrol na diesel kwa kukosa dollars. Lakini kulingana na huyu genius wa huku, remittances ni utopolo mtupu na hauna umuhimu wowote katika uchumi wa Kenya.
 
Halafu akapinga kauli yangu kwamba CBK huwa inatoa ripoti ya remittances kila mwezi.
Sasa watu wanaosoma huu uzi wabonyeze hili link ili wajue nani kichaa
 
Halafu akapinga kauli yangu kwamba CBK huwa inatoa ripoti ya remittances kila mwezi.
Sasa watu wanaosoma huu uzi wabonyeze hili link ili wajue nani kichaa
Onyesha wapi CBK imesema "remittances" ni "capital inflow?", tunapotofautiana Mimi na wewe ni kwamba, wewe unataka kuonyesha kwamba "remittances" ni sehemu ya "capital inflow" katika nchi na ulisema kwamba Benki kuu inaweka Kama "capital inflow" jambo ambalo sio kweli.

Ninarudia na kusisitiza kwamba " remittances sio "capital inflow", ni sehemu ya "salaries". Kama ujuavyo sehemu kubwa ya mishahara duniani, zaidi ya 95% Hutumika kwa matumizi binafsi, kununua chakula, kulipia bili mbalimbali na "kusuidia ndugu tegemezi nyumbani

Wenzetu walioendelea, "they have very few dependences back home" ndio sababu husikii habari ya "remittances" kwa wingi zikitumwa kwao.

Moja ya hasara ya "remittances" ni kutengeneza jamii tegemezi, ambayo haijishughilishi kufanyakazi kwa kutegemea tu pesa kutoka kwa jamaa zao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ndio wapo na wanatuma pesa nyumbani. Hivi unadhani hakuna Wamarekani wanaofanya kazi UAE, China, Mexico au Kenya? Wacha kuwa na akili mgando namna hii. Sema kiwango ni kidogo lakini sio kwamba haifanyiki kabisa. Wamarekani wanafanya kazi karibu katika kila nchi dunia hii. Hata hapa Kenya wapo na pia wanatuma pesa nyumbani.
Kwani "remittances" kwenda hizo nchi ni kidogo Sana ukilinganisha na nchi masikini Kama Afrika na Asia?, unadhani Kati ya hao na wakenya au Nigeria ni wapi ni wengi walioko nje ya nchi zao wanaolipwa pesa nyingi?

Weka data za remittances za Kenya na USA tulinganishe. Watu kutuma pesa nyingi nyumbani ni ishara ya jamii tegemezi"dependent community", kwamba nyumbani Kuna watu wengi ambao hawazalishi wanategemea kutumiwa pesa toka nje ya nchi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom