Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Ila usikute tunamsema tu rais wao hapa siasa. Oh mlafi kumbe kweli corona ipo.Week ya pili sasa kila siku wanakufa zaidi ya 30 per day
Rais wao yupo nje kuomba misaada zaidi ya kugharamia matibabu
Napita ndugu sema umesema nan rais wa dunia vile!!!🐸🐸Ugonjwa wa korona bado ungali siri ya wenyewe. Wakati mwingine kitendo cha hii nchi jirani kukubali tu ushauri wa wale jamaa, bila shaka kimechangia sana kuwalipua zaidi. Ndiyo maana JPM sasa anaitwa Rais wa Dunia mwenye maono pevu.
Angalie mwngine nawe umekuja kunengua, sasa kulingana na akili zako katika comment yako hujaona upotoshaji.Ameweka ushahidi bado unasema anaongopa, ama kweli wakenya sasa hivi mumefika mwisho wa kujitetea
We punguani sana, taarifa inapotelewa na wizara unataka kuipindisha ndio wanalumumba wakuone unajua sanaNilichoongopa nini sasa?
Kwani mimi ndio hayo magazeti yaliyosema mmefilisika na mnaomba msaada wa pesa za matibabu?
Mimi ndio wizara yenu ya afya inayotangaza kila siku mnapukutika?
Hii ndio taarifa official sioWeek ya pili sasa kila siku wanakufa zaidi ya 30 per day
Rais wao yupo nje kuomba misaada zaidi ya kugharamia matibabu
Hakuna Corona tz , believe me or notEndeleeni kuchekelea ila tunayaona ya kwenu japo huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuficha
TANZIA - Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia
Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...www.jamiiforums.com
[emoji851]Acha uongo bana
Endeleeni kuchekelea ila tunayaona ya kwenu japo huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuficha
TANZIA - Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia
Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...www.jamiiforums.com
Huyo anaeigiza kuwa mkimbizi atagua covid19 mda si mrefu.Wakenya wanaisha lakini cha ajabu hawaongei
Imebidi serikali yao ifunge shule zote, mikutano yote ya kisiasa na baa
Leo tu watu zaidi ya 20 wameondoka, Tanzania tufunge mipaka yetu hawa watu ni Corona zinazotembea
Wanapaswa kutubu na kutuomba radhi maana walitudharau sana na kusahau kuwa Mungu yupoPoleni sana siku zote usimtukane mamba kabla hamjavuka mto