Wakenya wanapukutika kwa Corona jamani

Wakenya wanapukutika kwa Corona jamani

Week ya pili sasa kila siku wanakufa zaidi ya 30 per day

Rais wao yupo nje kuomba misaada zaidi ya kugharamia matibabu
Ila usikute tunamsema tu rais wao hapa siasa. Oh mlafi kumbe kweli corona ipo.

Hali ya hewa ya baridi mda wote ndo tatizo nahisi

Poleni wakenya, litapita.
 
Ugonjwa wa korona bado ungali siri ya wenyewe. Wakati mwingine kitendo cha hii nchi jirani kukubali tu ushauri wa wale jamaa, bila shaka kimechangia sana kuwalipua zaidi. Ndiyo maana JPM sasa anaitwa Rais wa Dunia mwenye maono pevu.
Napita ndugu sema umesema nan rais wa dunia vile!!!🐸🐸
 
Ameweka ushahidi bado unasema anaongopa, ama kweli wakenya sasa hivi mumefika mwisho wa kujitetea
Angalie mwngine nawe umekuja kunengua, sasa kulingana na akili zako katika comment yako hujaona upotoshaji.
 
Nilichoongopa nini sasa?
Kwani mimi ndio hayo magazeti yaliyosema mmefilisika na mnaomba msaada wa pesa za matibabu?

Mimi ndio wizara yenu ya afya inayotangaza kila siku mnapukutika?
We punguani sana, taarifa inapotelewa na wizara unataka kuipindisha ndio wanalumumba wakuone unajua sana
 
Week ya pili sasa kila siku wanakufa zaidi ya 30 per day

Rais wao yupo nje kuomba misaada zaidi ya kugharamia matibabu
Hii ndio taarifa official sio
Sasawa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kwaheri mpotoshaji
 
Endeleeni kuchekelea ila tunayaona ya kwenu japo huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuficha
 
Endeleeni kuchekelea ila tunayaona ya kwenu japo huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuficha
Hakuna Corona tz , believe me or not
 
Endeleeni kuchekelea ila tunayaona ya kwenu japo huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuficha

Umekurupuka, mbona hamna uhusiano na mada inayojadiliwa.
 
Sidhani kama sisi Tanzania na Wakenya miili yetu inakinga na uwezo wa kureact tofauti against Covid-19
 
Kenyans they sold their souls for money and fame ,
 
Back
Top Bottom