PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kenya Wana mahotel na miundombinu mizuri ya barabaraEnzi za JPM kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja mwingine mpya pale Dodoma
Sijui Mipango imeishia wapi
Kuhost hiyo michezo kwa nchi masikini ni gharama zisizo na kipaumbele chochote.Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.
Sisi wabongo tukiwa bado kwenye usingizi wa pono wa siasa michezoni pamoja na UJINGA wa akina Haji manara na akina Baba levo wenzetu wakenya wameshatoka usingizini Toka SAA 11 alfajiri. Wakenya wanajua dunia nzima itasimama kuangalia fainali pale Nairobi...
Wizara yetu ya michezo imejipanga vipi na haya mashindano ya AFCON 2027 au bado tunawasubiri wahamasishaji wa soka akina mwijaku?View attachment 2925194
Kuna haja nasi tujipangeKenya Wana mahotel na miundombinu mizuri ya barabara
Mkuu nadhani kutakuwa na Faida kubwa kuweza ku-host hayo mashindano hasa kupitiaKuhost hiyo michezo kwa nchi masikini ni gharama zisizo na kipaumbele chochote.
Ni muhimu ku host kama sehemu ya reciprocity diplomacy, huwezi kuwa hosted na wengine kila siku bila ku host, lakini si kitu cha kupigania.
It is more about prestige than profit if you do the cost benefit analysis.
Hakuna lolote. Labda kama u host kwa kujibana na kutia aibu.Mkuu nadhani kutakuwa na Faida kubwa kuweza ku-host hayo mashindano hasa kupitia
Biashara za hotel/Lodge
Migahawa
Transportation
Japo ni vyema tusi-inject fedha nyingi kujenga miundombinu mipya rather than kuboresha iliyopo
Hivi lile kapu wanalolipitisha umeshawahi kuchangia hata 100? Au haujui kwamba kuna kapu la kuchangia?Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.
Sisi wabongo tukiwa bado kwenye usingizi wa pono wa siasa michezoni pamoja na UJINGA wa akina Haji manara na akina Baba levo wenzetu wakenya wameshatoka usingizini Toka SAA 11 alfajiri. Wakenya wanajua dunia nzima itasimama kuangalia fainali pale Nairobi...
Wizara yetu ya michezo imejipanga vipi na haya mashindano ya AFCON 2027 au bado tunawasubiri wahamasishaji wa soka akina mwijaku?View attachment 2925194
VP kijiji kikubwa Mbeya? Haiwezi faa?Kuna haja nasi tujipange
Serikali ifanye maboresho ya miundombinu na viwanja DSM, Arusha, Mwanza na Dodoma maana Miji hiyo ndiyo ina population kubwa kuweza kupata mashabiki wa kujaza viwanja wakati wa mashindano
sio kwa wakati huu ambao pira la bongo limekuwa vibaya mno hao caf hawakuchagui sababu unamaghorofa mengi wanaangalia sehemu watayopata faida na kwa hilo hapa bongo tunaongoza kupenda mpira.Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.
Sisi wabongo tukiwa bado kwenye usingizi wa pono wa siasa michezoni pamoja na UJINGA wa akina Haji manara na akina Baba levo wenzetu wakenya wameshatoka usingizini Toka SAA 11 alfajiri. Wakenya wanajua dunia nzima itasimama kuangalia fainali pale Nairobi...
Wizara yetu ya michezo imejipanga vipi na haya mashindano ya AFCON 2027 au bado tunawasubiri wahamasishaji wa soka akina mwijaku?View attachment 2925194
Hahaha............hata Mbeya panafaa Mkuu hasa Kutokana na hali ya hewa nzuri japo Kiuchumi naona changamotoVP kijiji kikubwa Mbeya? Haiwezi faa?
Ndiyo maana AFCON ya 2027 zinaandaa Nchi 3 za Kenya/Tanzania/UgandaHakuna lolote. Labda kama u host kwa kujibana na kutia aibu.
Fuatilia mashindano ya Olympic wanavyopata hasara almost everytime.
Kabla ya kuhesabu gharama za ujenzi, Ivoey Ciast wametumia zaidi ya dol za Kimarekani bilioni moja kuandaa AFCON 2024.
Je, nchi yenye matatizo mengi kama Tanzania ni sawa itumie hela zote hizo ku host michezo?
Hauoni kama ni sehemu ya kujitangaza ulimwenguni? Wakenya sio wajinga Hadi wapiganie fainali ipigwe Nairobi kwasababu wanajua nchi Yao itaweka history na kuongeza thamani ya utalii..Kuhost hiyo michezo kwa nchi masikini ni gharama zisizo na kipaumbele chochote.
Ni muhimu ku host kama sehemu ya reciprocity diplomacy, huwezi kuwa hosted na wengine kila siku bila ku host, lakini si kitu cha kupigania.
It is more about prestige than profit if you do the cost benefit analysis.
Sawa tuu,ufunguzi ukifanyika Tzn hakuna shida pia japo sidhani kama CAF watapeleka fainali Kenya Kwa sababu Tzn Ina mashabiki wengi.Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.