Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyike kwao

Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyike kwao

Enzi za JPM kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja mwingine mpya pale Dodoma

Sijui Mipango imeishia wapi

Msimsifie sana JPM.
Mpango wa kunenga na uwanja na famani na Ule ugeni wa Mfalme wa moroko ulikuwa Tangu 2017.

MBAKA ANAFARIKI 2021 HAKUNA KILICHOFANYIKA.

JIWE ALIKUWA MUONGO MNO, NA ALIGOMBANA NA SPONSERS WAMOROKO.

Pmbf
 
Nilidhani Mipango ya Serikali hufanyika hata kama aliyeipanga ameondoka.

Ndiyo maana kulikuwa na mpango wa Serikali kuhamia Dodoma, ni mpango wa miaka mingi umekaa bila kutekelezwa.

Alipoingia JPM akaja kuutekeleza.

Ndiyo hivyo hata Mipango ya Samia, akiondoka atakayeingia atakuja kuikamilisha.

Kumradhi Kwa kunielewa Vibaya
 
Enzi za JPM kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja mwingine mpya pale Dodoma

Sijui Mipango imeishia wapi
Dodoma ujengwe uwanja wa kawaida tu au uboreshwe kidogo huo uliopo. Sio kujenga uwanja mkubwa kwenye mji hali ya hewa mbaya kupita mikoa yote.

Mwanza - yes
Arusha-yes
Mbeya - yes
Zanzibar- yes,yes and yes
Dar es salaam- yes,yes and yes

Dodoma - No
 
Enzi za JPM kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja mwingine mpya pale Dodoma

Sijui Mipango imeishia wapi
Unaweka mipango kwenye familia yako huku pesa ya kutekeleza mpango wako unamtegemea jirani akupe!
 
Dodoma ujengwe uwanja wa kawaida tu au uboreshwe kidogo huo uliopo. Sio kujenga uwanja mkubwa kwenye mji hali ya hewa mbaya kupita mikoa yote.

Mwanza - yes
Arusha-yes
Mbeya - yes
Zanzibar- yes,yes and yes
Dar es salaam- yes,yes and yes

Dodoma - No
🙏🙏
 
Mkuu nadhani kutakuwa na Faida kubwa kuweza ku-host hayo mashindano hasa kupitia

Biashara za hotel/Lodge
Migahawa
Transportation

Japo ni vyema tusi-inject fedha nyingi kujenga miundombinu mipya rather than kuboresha iliyopo
Una uhakika au unaandika tu
 
Kwa akili za ndumbaro anaeza sema mechi zote za afcon watazamaji wavae jezi za taifa stars
 
Back
Top Bottom