Tetesi: Wakenya wanataka waruhusiwe kufanya kazi Tanzania bila Vibali, rais asikubali

Boss,hiyo taarifa uliifikisha ubalozini ? Au ndio tabia ya "mbwa kubweka mwizi keshakimbia ?"
 
Boss,hiyo taarifa uliifikisha ubalozini ? Au ndio tabia ya "mbwa kubweka mwizi keshakimbia ?"
Balozi za Tanzania miaka 10 iliyopita ni kama zilikuwa zimechomwa ganzi, hata ukipeleka malalamiko no one cares, sijui kwa sasa kama wanafuatilia, lakini nakuambia hivi Kenya unalipia vibali vya kufanyia kazi live live, tena kuna vibali viwili wanatoa, 1) Business visa ,hii unalipia 5K ksh ( laki moja ya tz ) ambayo inatolewa kwa miezi mitatu,ikiisha miezi mitatu unakwenda tena immigration to extend ,unalipa tena 5K, mwisho wake ni miezi sita, baada ya hapo huruhusiwi tena to renew business visa umekuwa qualified to apply for work permit, uliza mtanzania yeyote hii analipa tena bila tatizo ,nawajua wantanzania wote waliokuwa wanafanya kazi Kenya walikuwa wanalipa bila tatizo na haina usumbufu.
2) Work permit, ambayo ni ya miaka miwili ,hii unalipa 90k,hapa wabongo wengi ndo kazi inapokujia kama hawako kwenye stable company, bila kulipa hii hata ukipeleka documents zako kule immigration zitakaa zaidi ya mwaka hupati permit, nakuambia hivi hutapata permit, utakua unaambiwa haijatoka, mara kuna shida ya system iko down ,ama unajua now its elections, hutapata permit Kenya.

Hii EAC inabidi waiangalie vizuri, kuna matatizo mengi, kinachopatikana kwa nchi zote ni normal visa( pass unayopata airport au border) ambayo ni ya miezi miwili ,mmoja au mitatu ambayo huruhusiwi kufanya kazi, nilienda pia Uganda kufanya kazi, just business trip airport nikapewa normal visa nikawa nafanya kazi kimya kimya baadae ilipoisha nikapeleka passport yangu admin akanisaidie to extend visa, nikaambiwa nitoe 100usd kupata business visa ya miezi mitatu, nikamwambia leta passport yangu, then baadae nikachukua tax nikaenda uhamiaji nika extend visa ya kawaida kwa miezi mitatu bure, ningesema nafanya kazi maana yake ningelipa 100 usd na hii kitu ningeifanyia ofsini kwa kumtuma yule mhusika, kwa hiyo hakuna free permit EAC, haipo.
 
Ajifunze kuwa viwanda sio vy serikali ni ya watu binafsi issue kuweka sera nzuri za kuwavutia wawekezai! Kosa kuwa na mfalme anaejifunza mambo uchumi akiwa ofisini....kosa ni la kimfumo jinsi kuandaa viongozi! Sasa anajifunza akiw ofisini uchumi unaporomoka.....hadi akija kuelewa na kukubali ushauri ameshamaliza muda wake ina maana miaka yake atayokaa ameharibu tu uchumi!
 
Tizama ndugu hao unaowaita watu serious ndio mafisadi wenyewe wanaajiri wakenya kwa sababu ya kuficha hesabu zao zisijulikane TRA maana wanajua wabongo ni noma watatoa siri. Hebu niambie kuna hoteli moja Arusha ina vyumba 24 je ni kweli inahitaji meneja expatriate toka Kenya? Hoteli ya vyumba 24? Hoteli hiyo hiyo pamoja na hoteli mama yake ilikuwa inaendeshwa na Watanzania kwa miaka zaidi ya 50 wakati ilipokuwa ya Umma, meneja mmoja!!!!
 
Mkuu mbona watu kibao wanafundisha usa,ni madactari, lecture's sema ambao hawana professional zinazoitajika ndio wanafanya hizo kazi
 
Ushauri wa kimaskini. Tanzania haitakuja kupata maendeleo kamwe kwa mawazo kama haya. Watanzania wamejaa mioyo ya uchoyo, wivu na ubinafsi.

Mwenye moyo wa kimaendeleo angemshauri Rais wetu, naye aombe Watanzania waruhusiwe kufanya kazi Kenya bila vibali. Kama uwezo wetu wa kupata ajira huko ni mdogo, kipindi cha mpito tupewe upendeleo wa idadi fulani ya ajira ndani ya taasisi za serikali ya Kenya, wakati huo tukijenga uwezo wa ushindani.

Huwezi kuendelea kama huwezi kushindana.
 
For the development of Tanzania His Excellence should approve all of those request. We have been waiting for that. Good example Rwanda what about us
 
Kizuri ni kwamba siku mkizidi mnaotoka nchi zenu kuja Tanzania kudendea vya kwetu tunawafanyie kama south Africa wanavyofanya kwa hio nyie cha msingi
Kila mtu abaki nchi kwake afanye kazi huko huko kwake ndio maana Nchi zikatenganishwa, Wakenya waje Tz kisha baada ya hapo watoto wetu wakose ajira?
Wakenya kila siku huko kwenye EAST AFRICA forum mnatuzarau uchumi wetu uko
chini leo hii mnajipendekeza ha ha ha bakini huko huko mking'ang'a basi hatuna budi tutaanza kuwaua na uzuri kiswahili mnachokiongea hakifichiki.

Mi nitakuwa wa kwanza kufanya organization nikiona mmezidi
Tunawatimiua kama SA wanavyotimua.
 
Ni kweli wana roho mbaya...wachoyo mnooooo ila ya fools mi sijui looo
Ukikutana nao utajua. I dated a certain lady ndani ya siku tatu akaniambia ana mimba nimpeleke kwetu kigoma akamuone Mama, nikamwambia thubutu yako mshenzi wa hovyo na mkanda ukaishia hapo
 
Hilo la wakenya kuingilia ajira zetu ni janga kubwa hata sasa wamo wengi tu hasa kwenye sekta binafsi , serikali iwe na mpango wa kuwa inakagua wafanyakazi wa sekita binafsi ili kubaini watu wanaofanya kazi bila kuwa na vibari vya kazi , na siyo wakenya tu hata wahindi wakaguliwe pia , unakuta mhindi 1 anakibari naye anaingiza wengine hivyo hivyo na wakenya .
 
Ukikutana nao utajua. I dated a certain lady ndani ya siku tatu akaniambia ana mimba nimpeleke kwetu kigoma akamuone Mama, nikamwambia thubutu yako mshenzi wa hovyo na mkanda ukaishia hapo
Haaaaaa hiyo kali
 
Mkuu mbona watu kibao wanafundisha usa,ni madactari, lecture's sema ambao hawana professional zinazoitajika ndio wanafanya hizo kazi
Wanawafundisha waafrika wanafika USA kusoma, ni sawa na UDSM ikawa na kitivo cha utamaduni wa kichina au kirusi, itabidi wawachukue Warusi na Wachina waje wafundishe ili chuo kiendelee kupiga pesa kwa kuwachungua wanafunzi kutoka nchi tofauti wanaotaka kujifunza kuhusu utamaduni wa Warusi na Wachina.
 
Hakika wewe ni mzalendo mwenzangu. Yaani kama ningekuwa rais hakika ningekuteua uwe waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje au waziri wa kazi na ajira ili uwashughulikie wakenya na wanyarwanda warudi kwao.
 
Hakuna free permits hapa wakahakikiwe kwanza maana wao wanaongoza kwa feki Afrika Mashariki
 

Woga, uvivu na ujinga ndio kila siku vinatufanya Watanzanzania kuwaogopa. Unaposema fursa za kazi walizoumbiwa Watanzania una hakika na hilo au ni hisia zako zimekutuma?

Wakenya waruhusiwe haraka sana kuja kufanya kazi na biashara, tutafaidika sana na uwepo wao ktk nyanja za elimu, afya na biashara. Fursa za kiuchumi na ajira zitaongezeka na sio kupungua kwa sababu wataleta mapinduzi ya kifkra na ki utendaji hivyo kuchochea ukuaji wa uzalisha na uchumi.

Kitu kimoja tu ni kuwa Wakenya (na wageni wengine wowote) wasipiwe fursa ya kununua na/au kumiliki ardhi. Jambo hilo liwe nje ya mada hiyo.

Mwisho lazima Watanzania tujifunze kuiga mambo mazuri na kukataa mabaya. Mfano vyama vyetu vya ushirika na hata nyingi ya SACCOs bado hazijaleta matokeo kama ambayo wenzetu Kenya wamekuwa wakifaidika. Sasa kwanini tusiige hata jambo dogo kama hilo? Kwa nini tunaona mabaya tu ilihali fursa ya mema ni kubwa zaidi???

Kwa heshima nyingi naomba Rais wetu Mh. John Magufuli ukubali fursa hiyo muhimu. Ikiwezekana ufute mara moja hilo zuio na tufanye kazi badala ya kushindana na kuwaona jirani zetu hao kama maadui.
 
Huyo mama akuna cha kumuunga mkono wala nini? Mimi siwakubali awa Wakenya walishataka kumuua mshikaji Wangu katika mashamba ya vitunguu, ilivyo bainika. Tuliwafanyia fitina wakafukuzwa na biashara yote ilikufa. Wakenya wana roho mbaya sana
 


Kweli itakuwa jambo la kushangaza kama atawaruhusu Wakenya waje Tanzania kufanya kazi maanake wana competitive advantage over most Tanzanian and most Tanzanian would be unemployed here for sure. JAMANI KAMA TU HAWATAKI WATANZANIA WALIO NA RAIA NYINGINE WASIHODHI ARDHI ITAKUWA JAMANI TENA WAKENYA WAJE JUFANYA KAZI PILA VIBARI KWA VIPI TENA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…