Tetesi: Wakenya wanataka waruhusiwe kufanya kazi Tanzania bila Vibali, rais asikubali

Tetesi: Wakenya wanataka waruhusiwe kufanya kazi Tanzania bila Vibali, rais asikubali

--->>WAJE TU KUTUAMSHA,WATUPELEKE MCHAKA MCHAKA HASA KWA UTAALAMU AMBAO HATUNA NCHINI./
•ZOEZI LIFANYIKE BAADA YA WATZ WOTE KUPATA CITIZEN ID./
KINACHOTAKIWA WATAMBULIKE TU.
 
Naomba ombi hili limfikie raisi wetu Mh. John Pombe Magufuli.

Kesho Jumatatu Raisi wetu ataanza ziara ya siku mbili ya kiserekali nchini Kenya na atatembelea viwanda mbalimbali ikiwemo kiwanda cha Maziwa cha Brokies Diaries kinachomilikiwa na Familia ya Mzee Kenyatta.Hio sio ishu kwetu kabisa.
Kuna habari za kuaminika Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ana maombi makuu mawili kwa Raisi Magufuli.

Ombi la Kwanza
Raisi Kenyatta atawasilisha ombi la kuungwa mknono na Tanzania ili waweze kupata uenyekiti wa Africa Union Commission ambapo mwanamama na Waziri wa mambonyq nje wa Kenya Bi Aminq Mohamed anapigiwa chapuo achukue nafasi hiyo.Watanzania hatuna shida na ombi hili na tuko pamoja na Raisi wetu akiamua kuunga mkono jambp hili.

Ombi la Pili
Inasemakana Raisi Uhuru Kenyatta ataomba Tanzania ifute sheria zinazowataka raia wa kenya kuwa na vibali vya kufanya kazi hapa nchini yaani work permits.Hapa ndio kuna shida ikumbukwe tumekua na tatizo la wakenya kuja hapa nchini kuchukua fursa ambazo mungu aliwaumbia watanzania sasa kama Raisi Magufuli ataingia kwenye mtego huo basi sina shaka soko la ajira litavamiwa na wakenya ambao kila siku mate ya yanawatoka na ajira zetu.Najua raisi wetu wewe ni mtu wa kufanya maamuzi ya hapo kwa hapo ila kwa hili naomba usiingie kwenye mtego wa Uhuru Kenyatta.
Watanzania wenzangu naomba tupaze sauti na kuhakikishia ujumbe huu unamfikia Raisi wetu haraka iwezekenavyo tusambaze ujumbe huu whats app,twitter,facebook kila kona jamani.

[HASHTAG]#ChochondeMagufuli[/HASHTAG]
Ombi la pili linakera. Kama sio kutudharau watanzania sijui ni nini. Watanzania wenyewe tuna shida ajira hazitoshi halafu tuwafungulie kenya mlango. Kwanza hawa ni hodari wa hila na ukabila si ndio watachukua ajira zote tanzania. Kwanza tayari wamejaa kumili ardhi tanzania kiujanjaujanja. Hilo la kazi mr rais tell them NO. Hilo la kwanza halina shida. Tumuunge huyo mwanamama msomali wa kenya.
 
unania zuri, ila acha woga, waache waje wafanye kazi ila walipie work permit na walipe kodi mapato yao. tena kodi iwe juu zaid kwa wageni.
Mkuu ombi lao ni kuwa waruhusiwe kufanya kazi bila work permit yaani kuwe na free movement of labout
 
Sioni kama kuna ubaya ikiwa watafanya kazi kwa vibali, mbona utaratibu wa aina hiyo unafuatwa na nchi nyingi, wa wageni kufanya kazi kwa vibali, ni nafasi nzuri ya sisi kujifunza toka kwao na wao toka kwetu.
Wenzako wanataka hivyo vibali vitolewe
 
Wacha waruhusiwe ili tuache majungu ,uvivu na tujifundishe kufanyakazi
Unadhan wasauz waliokua wanasema ajira zao zinaporwa na wageni, uingereza waliojitoa eu wote n wavivu tuu, hii kitu sio rahs ka unavofikiria mkuu, baadae itakua na effect kubwa.
 
Unaogopa nini ? Mbona zaidi ya 80% ya dawa za binadamu mnazotumia huko Tanzania zinatoka kenya na india ?
 
Wakenya siyo watu ni wanyama kabisa natamani hata wasiwepo kabisa hapa nchini.
 
Naomba ombi hili limfikie raisi wetu Mh. John Pombe Magufuli.

Kesho Jumatatu Raisi wetu ataanza ziara ya siku mbili ya kiserekali nchini Kenya na atatembelea viwanda mbalimbali ikiwemo kiwanda cha Maziwa cha Brokies Diaries kinachomilikiwa na Familia ya Mzee Kenyatta.Hio sio ishu kwetu kabisa.
Kuna habari za kuaminika Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ana maombi makuu mawili kwa Raisi Magufuli.

Ombi la Kwanza
Raisi Kenyatta atawasilisha ombi la kuungwa mknono na Tanzania ili waweze kupata uenyekiti wa Africa Union Commission ambapo mwanamama na Waziri wa mambonyq nje wa Kenya Bi Aminq Mohamed anapigiwa chapuo achukue nafasi hiyo.Watanzania hatuna shida na ombi hili na tuko pamoja na Raisi wetu akiamua kuunga mkono jambp hili.

Ombi la Pili
Inasemakana Raisi Uhuru Kenyatta ataomba Tanzania ifute sheria zinazowataka raia wa kenya kuwa na vibali vya kufanya kazi hapa nchini yaani work permits.Hapa ndio kuna shida ikumbukwe tumekua na tatizo la wakenya kuja hapa nchini kuchukua fursa ambazo mungu aliwaumbia watanzania sasa kama Raisi Magufuli ataingia kwenye mtego huo basi sina shaka soko la ajira litavamiwa na wakenya ambao kila siku mate ya yanawatoka na ajira zetu.Najua raisi wetu wewe ni mtu wa kufanya maamuzi ya hapo kwa hapo ila kwa hili naomba usiingie kwenye mtego wa Uhuru Kenyatta.
Watanzania wenzangu naomba tupaze sauti na kuhakikishia ujumbe huu unamfikia Raisi wetu haraka iwezekenavyo tusambaze ujumbe huu whats app,twitter,facebook kila kona jamani.

[HASHTAG]#ChochondeMagufuli[/HASHTAG]
Uhuru Kenyatta atakuwa amechanganyikiwa , Tanzania ambayo kwa zaidi ya mwaka haijaajiri kijana yoyote , ina kazi gani za kuwapa wakenya ?
 
Mkuu nakuambia kama kuna watu wana Roho mbaya East Africa basi ni KENYA. Mwaka juzi niliajiriwa na NGO flan duty station NAIROBI. Ngoma ikaanza niliporipoti pale,

Yaani niliambiwa na country manager kuwa inabidi ashughulikie work permit kwanza, sasa kimbembe, ili upewe permit ni lazima kazi hiyo iwe imetangazwa Kenya na wamekosa mtu mtu huko, ikaonekana mambo hayaeleweki.

Nimekaa miezi mitatu sioni kinachoendelea ikabidi niwasiliane tena na NGO President SWEEDEN, alipowapigia pale wakasema nimekosa work permit, baada ya mwezi uliofuata nikawa sina jinsi nikabeba begi langu kurudi Bongo land.

KENYANS ARE FOOLS KWAKWELI

Wewe atleast umepitia machungu ya kufanya kazi Kenya , Kenya serikali inadanganya kuwa kwa EAC work permit ni bure kumbe sio bure, nilikuwa nalipa 5K ya business visa Kenya baada ya miezi sita nikaambiwa nitafute permit, nikapeleka documents zangu bila malipo kwa mgogo wa EAC zilikaa mwaka mzima bila kupata permit hadi pale nilipotoa 90K ndo nikapata permit, hakuna free permit Kenya ,narudia tena hakuna free permit Kenya kwa wananchi wa EAC, nashangaa wakenya wanavyolia lia wakiwa Tanzania , ukiachia tu kuwa kazi lazima itangazwe na ikose mtu wa kuifanya bado wana ile kitu yao training plan for under study, hiyo ukipata permit ukiwa kazini unaletewa mkenya uwe una mfundisha kazi kwa miaka miwili ili aje achukue kazi yako pindi permit yako ikiisha, sasa serikali ya Tanzania iendelee tu kuwatoza pesa za permit hadi hapo EAC itaamua kuleta usawa . Uhuru anaongea vitu ambavyo havijui na haijui nchi yake jinsi ilivyo ngumu kwa wananchi wa EAC kupata permit , na kwakuwa sio mfuatiliaji.
 
Hivi mnataka muungano wa Africa mashariki halafu bado mnataka kuwekeana vikwazo vya kipuuzi?

Wewe kama huna connection hata wamikoani waambiwe kuja Dar kwa kibali na bado utaendelea kulialia tu.

Watanzania mmekalia wizi tu ndio maana watu serious wanawaajili Wakenya, badilikeni kwanza badala ya kulialia.
Huu muungano ni wa kibiashara na kiuchumi, zaidi ya hapo mnatupotezea muda tuu. Mtoto wa simba na mtoto wachui hawatakuja kufanana kamwe.
 
Afadhali akaonyeshwe viwanda vinafananaje nadhani akirudi hapa zile kauli zake za hii ni Tz ya viwanda zitaisha.

Jirani zetu wana viwanda
Unamaa viwanda vya wazungu walio funguwa huko? Muwacheke vizuri, mkiwatekenya vibaya wanfunga mabegi yao hao wanaondoka.
 
Unamaa viwanda vya wazungu walio funguwa huko? Muwacheke vizuri, mkiwatekenya vibaya wanfunga mabegi yao hao wanaondoka.
Aone viwanda kama majirani wana viwanda vya wazungu au vya waafrika mimi sijui cha msingi aone viwanda vinafananaje..

Kwani sisi hatukuwa na viwanda?
May be those time alikuwa Mtoto so hakujua viwanda vinafananaje.

Hainiiingii akilini kama mtu mzima mtanzania hujui viwanda viko vipi kwa sababu tulidhakuwa na viwanda vya kutosha hapa Tz.

Let me tell u, kuna watu tayari wana upeo(vision) so hawa watakupa muongozo wa kuendeleza wengine ndiyo maana Nyerere kipindi kile alikuwa anachanganya watu kila kona ili wale wasiokuwa na uelewa, elimu, maendeleo yawapate from hao waliokuwa na vision.

Sasa huyu Juma anawagawa watu kwa hasira zake na uselfish.
Nyerere angekuwa hivyo tungekuwa hapa Leo?
 
Unamaa viwanda vya wazungu walio funguwa huko? Muwacheke vizuri, mkiwatekenya vibaya wanfunga mabegi yao hao wanaondoka.
Aone viwanda kama majirani wana viwanda vya wazungu au vya waafrika mimi sijui cha msingi aone viwanda vinafananaje..

Kwani sisi hatukuwa na viwanda?
May be those time alikuwa Mtoto so hakujua viwanda vinafananaje.

Hainiiingii akilini kama mtu mzima mtanzania hujui viwanda viko vipi kwa sababu tulidhakuwa na viwanda vya kutosha hapa Tz.

Let me tell u, kuna watu tayari wana upeo(vision) so hawa watakupa muongozo wa kuendeleza wengine ndiyo maana Nyerere kipindi kile alikuwa anachanganya watu kila kona ili wale wasiokuwa na uelewa, elimu, maendeleo yawapate from hao waliokuwa na vision.

Sasa huyu Juma anawagawa watu kwa hasira zake na uselfish.
Nyerere angekuwa hivyo tungekuwa hapa Leo?
 
Hivi mnataka muungano wa Africa mashariki halafu bado mnataka kuwekeana vikwazo vya kipuuzi?

Wewe kama huna connection hata wamikoani waambiwe kuja Dar kwa kibali na bado utaendelea kulialia tu.

Watanzania mmekalia wizi tu ndio maana watu serious wanawaajili Wakenya, badilikeni kwanza badala ya kulialia.
Naelewa mantiki ya ulichokiongelea lakini ukweli utabaki palepale kuwa nchi inatakiwa itangulize maslahi yake kwanza alafu ya jumuia ndipo itafuatia,kwa sasa nchi inayoweza kutishiana misuli kwa nguvu kazi imara ni Rwanda lakini kwa population yake si kitu kwa Kenya hivyo, inabidi tujipange kama taifa ili tuongeze ushindani kwa kuwa jumuiya si prestige bali ni profitability ama gains ndiyo huangali

Kinachotakiwa ni kiongozi atakaewawezesha watu ili wajiendeleze wenyewe na si kuendelezwa... Magufuli anatakiwa kuboresha elimu ili iwe elimu bora na si bora elimu itolewayo bila malipo huku ikileta matunda hafifu katika jamii

Viongozi wanapaswa kuondoa hizi mentality za kijamaa kuwa kiongozi atafanya kila kitu kwa ajili yao bali wao watatengenezewa mazingira ili watimize wajibu wao kwa kufanya kazi ili wajiendeleze....

Magufuli anapokosea ni kuendeleza mitazamo hii ilitopitwa na wakati kuwa mnyonge atetewe badala ya kumuwezesha ili ajisimamie mwenyewe
Hivi mnataka muungano wa Africa mashariki halafu bado mnataka kuwekeana vikwazo vya kipuuzi?

Wewe kama huna connection hata wamikoani waambiwe kuja Dar kwa kibali na bado utaendelea kulialia tu.

Watanzania mmekalia wizi tu ndio maana watu serious wanawaajili Wakenya, badilikeni kwanza badala ya kulialia.
 
Hoja ya kulinda ajira za watanzania ni ya msingi sana, lakin pamoja na kulinda ajira zetu tukazanie sana elimu. Nilishangaa sana kumsikia mhe Rais akisema Tanzania vyuo vikuu vimekuwa vingi mno. Nilitegemea hoja ingekuwa ubora wa elimu itolewayo. Wenzetu wametupita kwa mbali lakini bado tunalalamikia uwingi wa vyuo vikuu, diploma zitatuvusha kweli? Viongozi waliopita waliliona hili na ndiyo maana wakaruhusu vyuo vingi vitoe degree/ viwe vyuo vikuu
 
Ajira zitolewa kwa watanzania kama first option .. Kama hakuna mtz mwenye sifa basi wapewe wanzetu WA east Africa bila vibali. Napendekeza kigezo in kuwa na uwezo WA kuongea na kuandika Kiswahili falsafa...sababu majority ya Watanzania ... Wanatumia Kiswahili
 
Back
Top Bottom